Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa miaka mingi humu nilikuwa naongoza kwa kuwa na mabandiko mengi kushinda wengine.
Nadhani hadi kufikia mwaka jana, kwa kipindi fulani, nilikuwa naongoza.
Lakini kwa sasa hilo taji sinalo tena.
Nashikilia nafasi ya tano huku nikinyemelewa na Shunie aliye nafasi ya sita.
Wote walio juu yangu wamenikuta humu JF.
Hakika sasa nimeanza kuzeeka na ndo maana hata nguvu na spidi ya kubandika niliyokuwa nayo hapo awali, sina tena.
Heshima mbele kwa mzee Rutashubanyuma
Jamaa nimemvulia kofia.