Hongereni sana shule ya Kemebos Secondary School Kagera

Mimi kama mdau wa elimu, nimependezwa na kufurahishwa na haya matokeo ya juu kabisa na ya ajabu iliyopata shule hii.

Walikuwa na wanafunzi 70

Wanafunzi wote 70 wamepata div. One

Kupata one pekee sio ajabu sana kwenye nchi maana hata st. Fransis girls Mbeya wanapata n.k n.k, Bethel Mafinga wanapata ila hawa wote wamepata div. One za single digit yani wameishia div ya point 9 tu.

Division one ya point 7 (ambao ndio ufauli mkubwa zaidi ya wote kwa maana waliopata A zote) wapo 62

Div. 1 ya point 8 wapo 5

Div 1 ya point 9 wapo wa 3

Hivyo hakuna aliepata matokeo ya point 10 na kuendelea, aisee hawa jamaa sijui wanatumia mbinu gani za kufundishia hongereni sana walimu na kongole mmliki wa shule za kemebos, mmeupiga mwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii shule ni ya Gvt au private?
 
Kukaririsha tu hakuna jipya.Ukiwakuta wanasoma ni kama wananena kwa lugha.
 
Back
Top Bottom