GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila Mwanajeshi ninayekutana naye wa Uganda (hasa Maafisa) na wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na wakubwa wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika Vyuo vyao vya Kijeshi kama Kawaweta, Jinja na Kabamba wanasema wanakipigia Saluti Chuo cha TMA na Kukiri kuwa Mwanajeshi akienda hapo Kimafunzo anakuwa Kapikika Kunakotukuka na kuweza Operation yoyote ya Kijeshi kwani kuna Wakufunzi mahiri na hawana Masihara.
Jana kuna Mwanajeshi Mmoja (Afisa) kanichekesha sana baada ya kuniambia kuwa alipoenda tu Mafunzoni Monduli akakaribishwa na Kauli hii kutoka kwa Mkufunzi, "Jambo Afande je, Nyota huwa ipo chini au mbali juu?"
Naye akajibu ipo Juu basi Mkufunzi akamwambia sasa umekuja hapa TMA kuitafuta na hutoipata Kizembezembe ila tutakulazimisha uipate Kikakamavu na anasema baada tu ya hiyo Kauli Mziki wa Kuiafuta ulianza pale pale.
Sasa nimegundua kwanini Rais Museveni 75% ya Walinzi wake hutafuta wale ambao kwanza wamepita huko TMA. Hivyo basi nami GENTAMYCINE naomba leo nitoe Pongezi zangu za dhati kwa Mkuu wa Majeshi ya Tanzania (CDF) Jenerali Mkunda, Wanajeshi wote wa JWTZ na hasa hasa Wakufunzi wa Chuo cha Kijeshi cha Monduli (TMA) na Mkuu wa Chuo hicho.
Mnaweza mkadhani hamfanyi Kazi ila niwahakikishieni kuwa mnakubalika karibia na Wanajeshi wote wa Nchi Majirani hivyo endeleeni Kutupikia Maafisa Wapiganaji.