Hakuna lolote tunaweza Sasa hivi,tuache kujisifu.ukitaka kujua angalia mambo mengi ya kawaida hao watu wanatuzidi,kwa rasilimali za tz tungetakiwa kuwa mbali mara elfu moja na Hawa majirani wetu.nchi kama Uganda ,Rwanda,Burundi sio vya kujilinganisha navyo kabisa ,sisi tulitakiwa tuwe mbali zaidi yao kwenye Kila sekta.