Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipaniki kaka mkubwa nayo ni mafanikio yaani slum namba moja hadi nne ni kutoka nairobi!!!
MK254 pita pande hizi bana Kuna raha sana huku
Enda Manzeshe ukaimarishe slums huko kwanza.Charity begins at home eveb CBD ya Dar kuna barabara bila lami .Work on that 1st mnafik wewe.Kenya have made it possible to contribute 4 major slums in the list of the world worst slums,
Wakenya hiki ni kitengo chenu bwana msiisingizie dar es salaam
MK254 kwani mkuu tunajadili umaskini wa Tanzania au Tunajadili kitengo chenu cha Slums mlichochukua tuzo kwa kuingiza Slums Nne kabisa nzima nzima
Ripoti kutoka kwa hao hao Borgen Project inasema Watanzania 70% ni maskini wa kutupwa, hebu waza nchi yote hiyo (muungano wa mataifa mawili) yaani asilimia 70% jameni, licha ya madini, ardhi kubwa yenye rotuba, mvua, vivutio bora vya utalii...yaani kila mna kila sababu za kushinda mataifa yote kiuchumi, lakini uzembe hadi asilimia zote 70% bado mnateseka kwenye umaskini.
Hiyo asilimia 30% iliyosalia utakuta ni wahindi, waarabu, wazungu wote wanaojiita Watanzania na pia watoto wa vigogo, nyie wengine wote ni mateso tupu. Na ndio maana mnatusumbua sana kwa kujaza omba omba kwetu hapa, yaani Tanzania ndio nchi pekee yake Afrika ambayo raia wake wanaitoroka na kwenda kuwa omba omba kwenye taifa la jirani, bila aibu.
-------------------------------
The African country of Tanzania has a population of 53 million people, and it is estimated that around 70 percent of its people live in poverty. Although this constitutes a large amount of their population, the economy is improving and poverty is slowly decreasing. In fact, the economy in Tanzania has vastly improved over the last decade, averaging more than 6 percent growth a year. These improvements have come from many changes within the country.
Kuna kitu hapa lazima nistaajabu, Citizen TV ya Kenya ndo inarusha hiyo documentary kuhusu Tanzania
we unafikiri kitatokea nin!?? 😁😁
Tunajadili mnavyotusumbua kwa kujaza omba omba hapa Kenya, mna tuzo tatu ambazo mumeshinda mataifa yote ya dunia
- Kuchinja albino
- Kuchinja watoto kwa sababu za kishirikina
- Kujaza omba omba kwenye nchi za watu