Hongereni sana wakenya leo imenibidi niwapongeze tu majirani!!

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
6,260
Reaction score
7,395
Kenya have made it possible to contribute 4 major slums in the list of the world worst slums,

Wakenya hiki ni kitengo chenu bwana msiisingizie dar es salaam
 
Attachments

  • Screenshot_20190730-203752.png
    Screenshot_20190730-203752.png
    21.9 KB · Views: 69
  • Screenshot_20190730-203735.png
    Screenshot_20190730-203735.png
    22.8 KB · Views: 39
MK254 pita pande hizi bana Kuna raha sana huku

Ripoti kutoka kwa hao hao Borgen Project inasema Watanzania 70% ni maskini wa kutupwa, hebu waza nchi yote hiyo (muungano wa mataifa mawili) yaani asilimia 70% jameni, licha ya madini, ardhi kubwa yenye rotuba, mvua, vivutio bora vya utalii...yaani kila mna kila sababu za kushinda mataifa yote kiuchumi, lakini uzembe hadi asilimia zote 70% bado mnateseka kwenye umaskini.
Hiyo asilimia 30% iliyosalia utakuta ni wahindi, waarabu, wazungu wote wanaojiita Watanzania na pia watoto wa vigogo, nyie wengine wote ni mateso tupu. Na ndio maana mnatusumbua sana kwa kujaza omba omba kwetu hapa, yaani Tanzania ndio nchi pekee yake Afrika ambayo raia wake wanaitoroka na kwenda kuwa omba omba kwenye taifa la jirani, bila aibu.
-------------------------------
The African country of Tanzania has a population of 53 million people, and it is estimated that around 70 percent of its people live in poverty. Although this constitutes a large amount of their population, the economy is improving and poverty is slowly decreasing. In fact, the economy in Tanzania has vastly improved over the last decade, averaging more than 6 percent growth a year. These improvements have come from many changes within the country.

Kenya have made it possible to contribute 4 major slums in the list of the world worst slums,

Wakenya hiki ni kitengo chenu bwana msiisingizie dar es salaam
Enda Manzeshe ukaimarishe slums huko kwanza.Charity begins at home eveb CBD ya Dar kuna barabara bila lami .Work on that 1st mnafik wewe.
 
Bwana254 tujadili mambo ya kitengo chenu mbona hiyo ripoti haina neno manzese? Naona mnatoka nje ya mada yanayohusu kitengo chenu cha Slums
 
MK254 kwani mkuu tunajadili umaskini wa Tanzania au Tunajadili kitengo chenu cha Slums mlichochukua tuzo kwa kuingiza Slums Nne kabisa nzima nzima

Tunajadili mnavyotusumbua kwa kujaza omba omba hapa Kenya, mna tuzo tatu ambazo mumeshinda mataifa yote ya dunia
- Kuchinja albino
- Kuchinja watoto kwa sababu za kishirikina
- Kujaza omba omba kwenye nchi za watu

Ripoti kutoka kwa hao hao Borgen Project inasema Watanzania 70% ni maskini wa kutupwa, hebu waza nchi yote hiyo (muungano wa mataifa mawili) yaani asilimia 70% jameni, licha ya madini, ardhi kubwa yenye rotuba, mvua, vivutio bora vya utalii...yaani kila mna kila sababu za kushinda mataifa yote kiuchumi, lakini uzembe hadi asilimia zote 70% bado mnateseka kwenye umaskini.
Hiyo asilimia 30% iliyosalia utakuta ni wahindi, waarabu, wazungu wote wanaojiita Watanzania na pia watoto wa vigogo, nyie wengine wote ni mateso tupu. Na ndio maana mnatusumbua sana kwa kujaza omba omba kwetu hapa, yaani Tanzania ndio nchi pekee yake Afrika ambayo raia wake wanaitoroka na kwenda kuwa omba omba kwenye taifa la jirani, bila aibu.
-------------------------------
The African country of Tanzania has a population of 53 million people, and it is estimated that around 70 percent of its people live in poverty. Although this constitutes a large amount of their population, the economy is improving and poverty is slowly decreasing. In fact, the economy in Tanzania has vastly improved over the last decade, averaging more than 6 percent growth a year. These improvements have come from many changes within the country.

Kuna kitu hapa lazima nistaajabu, Citizen TV ya Kenya ndo inarusha hiyo documentary kuhusu Tanzania
we unafikiri kitatokea nin!?? 😁😁
 
Citizen ni media ya Kenya hivyo inawajibu wa kututaarifu kuhusu usumbufu wa hao ndugu zenu.
Na hapa utalaumu Citizen?

Tunajadili mnavyotusumbua kwa kujaza omba omba hapa Kenya, mna tuzo tatu ambazo mumeshinda mataifa yote ya dunia
- Kuchinja albino
- Kuchinja watoto kwa sababu za kishirikina
- Kujaza omba omba kwenye nchi za watu

Mk254 kuna siku nilikwambia ndugu yangu acha kujivunia majumba ya kifahari ya akina white..
Haya sasa leo tumeona wakenya halisi wanapo ishi hapo ukijumlisha na GDP yenu ya mapishi mpo mbali sana...
Kesho utakuja hapa sijui kenya tuna barabara nzuri or bandari mombasa sijui 10times bigger than Dar...
Sijui wazungu wanawapenda longo longo nyingiiii...
Kumbe unalalala chini..
Na ninaamini wakenya waliopo JMF mngekua na hata hata na vigari au vijumba mngepost humu....
 
Wakenya tunapowapongeza kwenye mambo ya msingi kama haya mliyoshika nafasi ya juu Duniani muwe mna Shukuru kwani yote hua ni mipango ya Mungu
 
Back
Top Bottom