Hongereni sana wakenya leo imenibidi niwapongeze tu majirani!!

Hongereni sana ndugu zetu kwa kuingiza slums nne kwa mpigo kwenye list hiyo ya kidunia
 

Kipi bora, kula mnofu wa albino au kuishi nyumba za mabanda kama Tandale. Hebu nenda kwa hii link uone mnavyotukanwa. Nyie mnaishi maisha ya kimaskini na bado mnawakula albino.
 
Umepaniki brother
 
Mimi ni Mtanzania lakini sikupendezwa na bandiko hili,
Inashangaza sana, mleta mada unapo post kitu kama hiki unalenga kufanikisha kitu gani? Faida gani utapata kwa kuiweka hadharani aibu ya jirani yako? Wewe huna aibu? Unatarajia mjadala wa aina gani utakaoendelea baada ya post yako? Huoni kwamba kuna mengi ya maana yenye kujenga, yenye tija ungeweza kuyaweka hapa yajadiliwe kuliko kuiweka aibu ya jirani yako? Hivi umezunguka Bongo kushuhudia aibu zilizopo kabla kugeukia jirani zetu? Kweli Nyani haoni .............

Tubadilike jamani!
 
Ata S.Sudan na Somalia na mashida zao zote hawaombi kwa mabarabara apa Kenya.
 
Enda Manzeshe ukaimarishe slums huko kwanza.Charity begins at home eveb CBD ya Dar kuna barabara bila lami .Work on that 1st mnafik wewe.
Du du du !!!! Kangemi slum in Naii hii ni gani mbona kila siku slum Mpya sijawai kuisikia hii WAKENYA MKUJE MTUTAJIE SLUM ZOTE ZILIZOPO NAII au ziko MOBU hata nyinyi wenyewe amzijui zote
 
Du du du !!!! Kangemi slum in Naii hii ni gani mbona kila siku slum Mpya sijawai kuisikia hii WAKENYA MKUJE MTUTAJIE SLUM ZOTE ZILIZOPO NAII au ziko MOBU hata nyinyi wenyewe amzijui zote
 
Hongereni sana ndugu zetu wa Damu wakenya kwa kuingiza slums nne kwa mpigo kwenye list ya kidunia hii ni fahari kwetu kama wana afrika mashariki
 
Tunawaombea Mwakani muingize slums hata saba kwenye list ili afrika mashariki ipae juu zaidi maana ushindi wenu ni wetu pia kama wana east africa
 

Anzisha uzi wako ila kwa sasa we deal with hell-like slums..!!from number 1 to number 4!..well done
 
Enda Manzeshe ukaimarishe slums huko kwanza.Charity begins at home eveb CBD ya Dar kuna barabara bila lami .Work on that 1st mnafik wewe.

Number 1 to number 4 nairobi oooo yeah nairobi kuna slum mob
 

Oya huu ni utani (joke) ndugu yangu hakuna kitu serious hapa hata wakenya wenyewe wanajua! Mara ngapi wao wana-post Madudu yetu tena na kejeri juu

Au wewe ni mgeni humu...?
 
Naona umepapaswa penyewe hadi unaleta past news [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hizi slum huwa zinawauna, nishapata dawa yenu
 
Slums ndo zile full suti?
Wengine lugha imetupitia kushoto
 
If kibera holds 700000 slum dwellers,mathare 200000 dwellers,kawangware 650000,and kangemi 100000...
Jumla ni slum dwellers 1,650,000, hapo bado dandora slum,huruma,mama mboga,kiambiui, let assume inafika slum dwellers 2,000,000
So,population ya nairobi ni approx 4,000,000 people, ukitoa wale slum dwellers it means nusu ya wakazi wa nairobi wanaishi kwa slums,very sorry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…