Hongereni sana wakenya leo imenibidi niwapongeze tu majirani!!

Ww hujui tabia yabjirani yako

Ungekua unajua wala usinge post ulicho post
 
Na ukute hizi mbu zinazotusumbuaga humu zinatokea kwenye hizo "honourable places"
 
Enda Manzeshe ukaimarishe slums huko kwanza.Charity begins at home eveb CBD ya Dar kuna barabara bila lami .Work on that 1st mnafik wewe.
Ni Manzese by the way. Na hapo kwa list umeiona? Nyie ni THE CHAAAAAMPIIOOOOOOONNSSSE...... THE CHAAMPIIOOOONNNSSSSS......
 
Kenya have made it possible to contribute 4 major slums in the list of the world worst slums,

Wakenya hiki ni kitengo chenu bwana msiisingizie dar es salaam

Wa-Kenya wao huwa hawaui Albno lakini. Nawasifu sana kwa hilo. Wahenga waliwahi kuimba wimbo unasema "Mtu chake apendacho, hakina hila moyoni, huridhika kuwa nacho japo hakina thamani." Halafu juzi tu Wa-Kenya hawa hawa wameturudishia pesa yetu nyingi sana iliwahi kuibiwa NBC Moshi, huko nyuma mwaka 2004, pamoja na dhahabu waliyoikamata Polisi wa Kenya Airport mwezi juzi mwaka huu. Bado tu wa-Kenya wanapondwa, tena na mtu m-Tanzania. Unajua nini, baadhi yetu sisi wa-Tanzania huwa ni wajinga sana!

Halafu ngoja nikupe tip hii: kwa uzoefu wangu mimi, M-Kennya na M-Tanzania wakikutana tuseme kwa mfano Ulaya, wasiowajua huwa hawawezi kuwatofautisha kuwa huyu ni M-Kenya na yule ni M-Tanzania. Huwa wanawaona kuwa aidha wote ni wa-Tanzania au wote ni wa-Kenya. Hadi mfikie hatua ya kuwajulisha kuwa yule ni M-Kenya na yue ni M-Tanzania. Ni kama walivyo wa-Malawi na wa-Zambia!
 
We naye kama umerogwa. Ina maana wewe unavyoonaga hawa wakenya kuuutwa wakiwa ni kazi ya kusema na kuiponda Tamzania, huwa unasema nini kuigharafu nchi yako? Leo wanasemwa wao, huyo unaibuka kuwakingia kifua. Sisi huwa hatuna mema ama?
 
We naye kama umerogwa. Ina maana wewe unavyoonaga hawa wakenya kuuutwa wakiwa ni kazi ya kusema na kuiponda Tamzania, huwa unasema nini kuigharafu nchi yako? Leo wanasemwa wao, huyo unaibuka kuwakingia kifua. Sisi huwa hatuna mema ama?
Niongezee!
 
 
Top 10 ya majiji mazuri na yanayovutia Africa Dar ipo namba 3 huku Nairobi ikitupwa hadi namba 7 [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio bure wezere aka wwowo la gavana limetupandisha chati.
 

Lete uzi mwingine,
Hama Leo ni slum masters.
Bwa ha ha haaa
 

Aha haaa
Mara albinos mara ombaomba.
Tulia sehemu moja usiruke ruke.
 
Is is scientifically impossible for the area called kibera to be occupied by more than 200,000 people...

Hio story ya Kibera hua inatumika na NGOs kupata misaada na hela za Bure , this thing has been proven more than once
 
Nairobi slum hub...Mmetisha sana nyang'au, mji umejaa vibanda umiza lakini Ndio mnashinda twitter kutukana wenzenu na kujiona nyie bora!!Shame on you
 
Hahahaa kwa sababu ipo kenya ndo useme inatumika na ngos
Is is scientifically impossible for the area called kibera to be occupied by more than 200,000 people...

Hio story ya Kibera hua inatumika na NGOs kupata misaada na hela za Bure , this thing has been proven more than once
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…