Hongereni sana wakenya leo imenibidi niwapongeze tu majirani!!

Hongereni sana wakenya leo imenibidi niwapongeze tu majirani!!

Wa-Kenya wao huwa hawaui Albno lakini. Nawasifu sana kwa hilo. Wahenga waliwahi kuimba wimbo unasema "Mtu chake apendacho, hakina hila moyoni, huridhika kuwa nacho japo hakina thamani." Halafu juzi tu Wa-Kenya hawa hawa wameturudishia pesa yetu nyingi sana iliwahi kuibiwa NBC Moshi, huko nyuma mwaka 2004, pamoja na dhahabu waliyoikamata Polisi wa Kenya Airport mwezi juzi mwaka huu. Bado tu wa-Kenya wanapondwa, tena na mtu m-Tanzania. Unajua nini, baadhi yetu sisi wa-Tanzania huwa ni wajinga sana!
Halafu ngoja nikupe tip hii: kwa uzoefu wangu mimi, M-Kennya na M-Tanzania wakikutana tuseme kwa mfano Ulaya, wasiowajua huwa hawawezi kuwatofautisha kuwa huyu ni M-Kenya na yule ni M-Tanzania. Huwa wanawaona kuwa aidha wote ni wa-Tanzania au wote ni wa-Kenya. Hadi mfikie hatua ya kuwajulisha kuwa yule ni M-Kenya na yue ni M-Tanzania. Ni kama walivyo wa-Malawi na wa-Zambia!

We mgeni humu eeehh???

Hatuna undugu na kenya sisi..!!
 
Is is scientifically impossible for the area called kibera to be occupied by more than 200,000 people...
Hio story ya Kibera hua inatumika na NGOs kupata misaada na hela za Bure , this thing has been proven more than once

Kibera holds 700000 slum dwellers,that's why it is number 1 in the list of the worst slums
 
Una udugu na watu wapi, hao wanaoiba dhahabu na pesa zinakwenda kukamatiwa Kenya, pamoja na hao wanaoua Albino? hao ndiyo ndugu zako?
Ahaa nimeshakuelewa we ni mtu wa aina gani,pole sana brother kama tumekuudhi sisi hapa hatupo kisiasa utuondolee kabisa stress zako za ki-chadema!
Karibu tena!!
 
Enda Manzeshe ukaimarishe slums huko kwanza.Charity begins at home eveb CBD ya Dar kuna barabara bila lami .Work on that 1st mnafik wewe.
Hahaha Manzese hakuna slum. Ni unplanned settlement, zile ni nyumba kabisa. Ni uswahilini tu tunakuita. Hakuna vibanda vya mabati kama Kibera.
 
Ripoti kutoka kwa hao hao Borgen Project inasema Watanzania 70% ni maskini wa kutupwa, hebu waza nchi yote hiyo (muungano wa mataifa mawili) yaani asilimia 70% jameni, licha ya madini, ardhi kubwa yenye rotuba, mvua, vivutio bora vya utalii...yaani kila mna kila sababu za kushinda mataifa yote kiuchumi, lakini uzembe hadi asilimia zote 70% bado mnateseka kwenye umaskini.
Hiyo asilimia 30% iliyosalia utakuta ni wahindi, waarabu, wazungu wote wanaojiita Watanzania na pia watoto wa vigogo, nyie wengine wote ni mateso tupu. Na ndio maana mnatusumbua sana kwa kujaza omba omba kwetu hapa, yaani Tanzania ndio nchi pekee yake Afrika ambayo raia wake wanaitoroka na kwenda kuwa omba omba kwenye taifa la jirani, bila aibu.
-------------------------------
The African country of Tanzania has a population of 53 million people, and it is estimated that around 70 percent of its people live in poverty. Although this constitutes a large amount of their population, the economy is improving and poverty is slowly decreasing. In fact, the economy in Tanzania has vastly improved over the last decade, averaging more than 6 percent growth a year. These improvements have come from many changes within the country.

Kwa hiyo matajiri with the best slums in the world.
 
Ubaguz peleken kweny ufuaj Wa nguo sisi sote wana Wa Africa mashariki[emoji122][emoji102][emoji102]
 
Oya huu ni utani (joke) ndugu yangu hakuna kitu serious hapa hata wakenya wenyewe wanajua! Mara ngapi wao wana-post Madudu yetu tena na kejeri juu

Au wewe ni mgeni humu...?
Sio mtanzania huyo, kaukana uaraia wake kwa aibu ya slums
 
The largest slum in the world holding 7 million souls wanaozaana kama panya ni Dar is slum
 
5402161425_111359aabd_b.jpg

Dar minus the two towers is a slum
 
Hahahaa kwa sababu ipo kenya ndo useme inatumika na ngos

Kibera holds 700000 slum dwellers,that's why it is number 1 in the list of the worst slums
Kibera ni 2.38km2 ... Kama watu zaidi ya 700k wanaishia ndani ya Kibera inamaanisha population density ya 300,000 people per square km!!!! Not unless unataka uniambie Kibera Kuna 20 florr skyscrapers hio hesabu haziwezi ingiliana ..

Thruth about Kibera

_____

Paul Currion laid out how this works two years ago, in his essay "Lies, damned lies and you know the rest":

In the absence of actual data (such as an official census), NGO staff make a back-of-envelope estimate in order to plan their projects; a postgraduate visiting the NGO staff tweaks that estimate for his thesis research; a journalist interviews the researcher and includes the estimate in a newspaper article; a UN officer reads the article and copies the estimate into her report; a television station picks up the report and the estimate becomes the headline; NGO staff see the television report and update their original estimate accordingly. All statistical hell breaks loose, and the population of Kibera leaps ever higher.
Every actor at every stage has a motive for using the upper end of that initial estimate, rather than more conservative figures – planning, funding, visibility, and so on – but no single person is responsible for inflating the figure progressively further from reality.
Hence the shock when a census by the Kenyan government found only 170,000 residents, a count probably not much higher than the number of NGOs that have swarmed into the area. It isn't easy counting the transient population of an informal settlement, and of course the government don't have a fantastic record on Kibera – if they did, it wouldn't exist – but their figures fit reasonably well with those produced by others. The Map Kibera Projectused sampling to produce an estimate of 235,000-270,000, while KeyObs deployed the cold, hard gaze of a satellite to produce an estimate of around 200,000. These more accurate figures have suffered the fate that tends to befall most inconvenient truths; they have been widely ignored.
Does this matter? Yes, if it means that years of funding and community planning are based on figures that are complete and utter bullshit. Kibera hosts some of the world's poorest people; residents whose problems are very real and immediate, whose scale hardly needs exaggerating. In a community estimated to host several hundred NGOs, charities and agencies, sucking in millions of dollars in foreign aid, such a fundamental error raises a more disturbing question: if so many people are so wrong about something so basic, what else isn't true?
 
Kenya have made it possible to contribute 4 major slums in the list of the world worst slums,

Wakenya hiki ni kitengo chenu bwana msiisingizie dar es salaam

Hapa ngoja niwatetee Wakenya.

In Africa kuna slums such as Makoko slum in Nigeria, hii slum nyumba kama za Kibera zimejengwa juu ya maji na wakazi wa slum hii huwa wanapiga mishe zao na mitumbwi.

In the world there are bigger and worst slums than Kibera such as Neza in Mexico, Daravi in India. Neza has been the worst and biggest in the world for decades.
 
Ripoti kutoka kwa hao hao Borgen Project inasema Watanzania 70% ni maskini wa kutupwa, hebu waza nchi yote hiyo (muungano wa mataifa mawili) yaani asilimia 70% jameni, licha ya madini, ardhi kubwa yenye rotuba, mvua, vivutio bora vya utalii...yaani kila mna kila sababu za kushinda mataifa yote kiuchumi, lakini uzembe hadi asilimia zote 70% bado mnateseka kwenye umaskini.
Hiyo asilimia 30% iliyosalia utakuta ni wahindi, waarabu, wazungu wote wanaojiita Watanzania na pia watoto wa vigogo, nyie wengine wote ni mateso tupu. Na ndio maana mnatusumbua sana kwa kujaza omba omba kwetu hapa, yaani Tanzania ndio nchi pekee yake Afrika ambayo raia wake wanaitoroka na kwenda kuwa omba omba kwenye taifa la jirani, bila aibu.
-------------------------------
The African country of Tanzania has a population of 53 million people, and it is estimated that around 70 percent of its people live in poverty. Although this constitutes a large amount of their population, the economy is improving and poverty is slowly decreasing. In fact, the economy in Tanzania has vastly improved over the last decade, averaging more than 6 percent growth a year. These improvements have come from many changes within the country.

KATI YA MASIKINI NA TAJIRI NI NANI ANAYEOMBA CHAKULA? ACHA UZUZU WEWE NYANGAU
 
Nairobi slum hub...Mmetisha sana nyang'au, mji umejaa vibanda umiza lakini Ndio mnashinda twitter kutukana wenzenu na kujiona nyie bora!!Shame on you
I'd rather live in a country with slums than in a country where little angels are denied the right to live just because some reprobates are too lazy to work but want to live affluently
 
Back
Top Bottom