Hongereni sana wana Mtwara kwa maana Likud anakuja kuwatembelea tena kwa mara nyingi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Wiki ya mwisho wa mwezi huu hadi mwisho wa mwezi nitakuwa wilayani Tunduru ila wiki moja kabla nitaitumia mkoani Mtwara . Hongereni Sana wana Mtwara kwa uwepo wa Likud mkoani kwenu.

Tambeni, ringeni kwa maana Likud yuaja mkoani kwenu.

Basi wana Mtwara wamefurahi hatari.

Kwa watu wa mikoa mingine msijisikie unyonge. Likud nitakuja kuwatembelea pia.

( 2005 - 2006).. I will be there for u.

🙏🙏🙏🙏🙏
 
Ukifika na huko saidia kuangalia fursa zilizopo huko utupe mrejesho hapa jf
 
Nini kitatambulisha kuwa kuna mtu muhimu kaingia mjini mtwara. Inawezekana hata nzi wasijue kama upo pale b9la kuwepo heka heka za mji kutikiswa na ujio wako.
Utakuwa na msururu wa magari au nini kitakachokutambulisha na kuusimamisha mji wa mtwara.
 
My energy
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom