Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Kesho tunacheza na Leicester City..Mbona kama una stress mkuu?
Muue Liverpool kwenye mkeka wako utapiga hela mkuu upunguze stress.
"To much is HARMFULL""Kuna asiyependa hiko kiungo pendwa?? Na anyooshe kidole.
Hatimaye leo tumekumbukwa na kupewa Hongera wapenda papuchi.Kwa wale Wapenda papuchi "in different Variety and Style"....
1. Wapenda wake za watu
2. Wapenda wanafunzi
3. Wapenda makahaba
4. Wapenda ma Bar maid
5. Mnaokula wachumba za watu kimasihara (#FREE_RIKIBOY)
6. Wapenda "female office mates" maofisini huko
7. Waume za watu wapenda michepuko
8. Vibenten wapenda kulelewa
9. Wapenda mijimama umri kama mama zenu.
Wotee nyie SHUKURUNI sana CONDOM kwa kuwafanya kuiona X-Mass hii.
Endeleeni kuitumia vyema ili mje kuiona NYENGINE.
#UKIMWI_UPO na #UNAENDELEA_KUISHI.
#MARRY_X-MASS
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen.Hatimaye leo tumekumbukwa na kupewa Hongera wapenda papuchi.
Basi ndugu zangu tuzaliwe na Yesu Kristo kwa kuyaacha na kuyasahau na kuzishinda tamaa za papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
""To much is Dangerous""Usipokufa na ngoma utakufa na kisukari, pressure, hepatitis b, ajali etc.
Wacha tuinjoy maisha USITUTISHE!!
Hawa maisha yao ni kwenye ZIWA LIWAKALO MOTO..!!Umesahau wapare a.k.a Wala samaki kwa picha
Free the boy known as RIKIBOY.#Free Rikiboy" ,unamaanisha nini mkuu ?
#Free Rikiboy" ,unamaanisha nini mkuu ?