Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Kwa wale Wapenda papuchi "in different Variety and Style"....
1. Wapenda wake za watu
2. Wapenda wanafunzi
3. Wapenda makahaba
4. Wapenda ma Bar maid
5. Mnaokula wachumba za watu kimasihara (#FREE_RIKIBOY)
6. Wapenda "female office mates" maofisini huko
7. Waume za watu wapenda michepuko
8. Vibenten wapenda kulelewa
9. Wapenda mijimama umri kama mama zenu.
Wotee nyie SHUKURUNI sana CONDOM kwa kuwafanya kuiona X-Mass hii.
Endeleeni kuitumia vyema ili mje kuiona NYENGINE.
#UKIMWI_UPO na #UNAENDELEA_KUISHI.
#MARRY_X-MASS
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app