Hongereni Simba kwa kupata ushindi mnono ugenini

Hongereni Simba kwa kupata ushindi mnono ugenini

Salute wakuu.

Napenda kuwapongeza wanalunyasi kwa ushindi mnono walioupata dhidi ya Waangola, hakika kweli SIMBA nyie ni wakimataifa.

Napenda kuchukua nafasi hii kuwakilisha pongezi zangu zote Simba kwa niaba ya Wanayanga wote.

Hakika mmetanguliza mguu mmoja kwenye hatua ya makundi.

Ila nasikitishwa sana na baadhi ya Wanayanga wenzangu wabishi wasiotaka mabadiliko ndani ya klabu yetu. Najiuliza Je, hawaoni wivu jinsi Simba anavyotusua anga?

Akili zetu zilivyo za kipumbavu tunataka tuifunge Simba tu ndiyo mioyo yetu inaridhika!!
Kiukweli sipendi kuongea mengi mno kuhusiana na mambo mengi nayoyajua yanayoendelea kwenye klabu.

Hata mtu mjinga unashindwa kujiuliza kwa nini kila siku sisi? Yaani tuwe vizuri ndani ila nje majanga? Namungo wa juzi atupite viwango vya CAF?
HAIINGII AKILINI KABISA!

Kuna refa mmoja wa ligi kuu nafahamiana naye (namuhifadhi kwa jina kuepusha uzi kufungiwa) na huwa nawasiliana nae sana, kiukweli ananimbia uchafu mwingi unaofanywa na kigogo mmoja wa timu yetu kwa kumhonga refa huyo kila achezeshapo mechi ya yanga! [emoji17][emoji17]
SIKUAMINI MPAKA AKANIONESHA SMS ZA UCHAFU NA MIAMALA YA PESA!

Nimeamua kuongea tu ukweli kuhusiana na hali halisi kuhusu yanayoendelea klabuni jamani.

KAMA KUNA YANGA NITAKUWA NIMEMKOSEA ANISAMEHE TU MAANA NIPO KWENYE KUJENGA NA SI KUBOMOA. NAUMIA NA SUALA HILI.

Sipendi uchonganishi na wala sipendi kuiongelea vibaya Yanga ila kiukweli niseme imetosha Yanga kufanya huu uchafu ipo siku nyie viongozi mtakuja kuumbuka

TUACHIENI YANGA YETU, YANGA SI KITEGA UCHUMI!

#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
Kuna refa mmoja wa ligi kuu nafahamiana naye (namuhifadhi kwa jina kuepusha uzi kufungiwa) na huwa nawasiliana nae sana, kiukweli ananimbia uchafu mwingi unaofanywa na kigogo mmoja wa timu yetu kwa kumhonga refa huyo kila achezeshapo mechi ya yanga! [emoji17][emoji17]
SIKUAMINI MPAKA AKANIONESHA SMS ZA UCHAFU NA MIAMALA YA PESA!
Screenshots_2022-10-10-02-02-13~2.jpg
 
Wee waache tu.si unaona wanavyojiumiza wenyewe.
Inasikitisha sana kwakweli
Hili suala lichunguzwe kwa kina na TFF
kwani linashusha hadhi ya mpira wetu na
Pia linaondoa ubora wa ligi yetu

Pindi huu mchezo wanaoucheza ukigundulika ligi itashuka hadhi yake na hata kufungiwa kimataifa
 
Viongozi wa Yanga pia wana wa ahidi wapinzani wa Simba kuwapa pesa kama wame droo au kuifunga simba.

Hili tunalisikia wazi wazi mara nyingi tu.
Mi huwa najiulizaga, mbona sijawahi kusiki hizo timu kuwaahidi wachezaji wake zawadi ili waifunge yanga ?

Kumbe viongozi wa Yanga wanatoa bakshishi hizo kupitia watu wa Yanga wa hizo timu.

Hii ni sababu mojawapo inayozidi kuiimarisha Simba.
Endeleeni hivyo hivyo.
 
Viongozi wa Yanga pia wana wa ahidi walipinzani wa Simba kuwapa pesa kama wame droo au kuifunga simba.

Hili tunalisikia wazi wazi mara nyingi tu.
Mi huwa najiulizaga, mbona sijawahi kusiki hizo timu kuwaahidi wachezaji wake zawadi ili waifunge yanga ?

Kumbe viongozi wa Yanga wanatoa bakshishi jizo kupitia watu wa Yanga wa hizo timu.

Hii ni sababu mojawapo inayozidi kuiinarisha Simba.
Endeleeni hivyo hivyo.
Penati halali ikakataliwa kwa michongo, ilibidi iwe 1 - 1 Refa akajifanya haioni hadi alipoamua kubalansi maamuzi mwishoni mwa mechi kumkatalia penati Sakho.

Goli la wazi la kusawazishwa 1 - 2 likakataliwa pia kuwa ni offside, kiuhalisia ilitakiwa mechi iwe 2 - 2 kabla yenu MAKOLO kushinda la 3 lakini kwa mbeleko hiyo MAKOLO mwaka huu mtabeba kombe la kahawa [emoji23]
 
Ukifuatilia the way Yanga anavyopata ushindi kwenye baadhi ya mechi unaweza kujua kuna kitu hakipo sawa na hili mimi huwa halinipendezi huwa nawaambia mashibiki wa Yanga huko nje marefa hawa wafahamu hivyo ushindi wa kufahamiana haupo.

Kwa aliyefuatilia mechi ya ligi kati ya Azam na Yanga atakuwa shahidi.
 
Hao sio wa kuwachekea wanaharibu mpira wetu.
 
Hilo la miamala ya simu tunalijuwa muda mrefu.

Utopollo fc kucheza mechi za ndani bila kuhonga pesa,
Ni sawa na mamba nje ya maji.
 
Ukifuatilia the way Yanga anavyopata ushindi kwenye baadhi ya mechi unaweza kujua kuna kitu hakipo sawa na hili mimi huwa halinipendezi huwa nawaambia mashibiki wa Yanga huko nje marefa hawa wafahamu hivyo ushindi wa kufahamiana haupo.

Kwa aliyefuatilia mechi ya ligi kati ya Azam na Yanga atakuwa shahidi.
Thats true indeed
 
Unataka Hers afanye nini zaidi ya kutusajilia wachezaji?
Unataka hers akacheze? Unataka Nabi afanye nini zaidi ya kile kikosi na ile mbinu unataka nini tena

Kweli kwa mech moja unakimbilia kusema et hers out nabi out iv kweli tulitembeza bakuli miaka 4 full vilio

Leo hii timu inakwenda inalipa mshahara inalipa posho na kila kitu coz ya huyo Hers

Hers yupo kwa ajili ya Gsm

Wawekezaji wengine wanakuja coz timu inafanya vzuri ndani eg sportpesa na azam

Mi ningekuona kma kweli shabiki wa yanga ungetoa ushauri kuliko kuanza kusema fulan atoke!
Unakuja kusema et yanga inatoa rushwa kwa refa sasa point ipi hapa

Kwahiyo tulivyowafunga wale Zalan tulionga?
 
Kuna refa mmoja wa ligi kuu nafahamiana naye (namuhifadhi kwa jina kuepusha uzi kufungiwa) na huwa nawasiliana nae sana, kiukweli ananimbia uchafu mwingi unaofanywa na kigogo mmoja wa timu yetu kwa kumhonga refa huyo kila achezeshapo mechi ya yanga! [emoji17][emoji17]
SIKUAMINI MPAKA AKANIONESHA SMS ZA UCHAFU NA MIAMALA YA PESA!View attachment 2382131
Mshana Jr huu uozo hautakiwi kufichwa. Mara kadhaa Moderator wameruhusu nyuzi za rushwa humu huku wakitoa ulinzi. Wasiliana nao
 
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nasema adui yetu mkubwa ni Hersi na jopo lake wanaopambana kuhonga waamuzi badala ya kuiandaa team kiushindani. Tumefanya usajili mkubwa kwaajili ya michuano ya kimataifa na si kombe la mbuzi.
#HersiOut
Uwezi kuwa shabiki wa yanga wewe!! Hapo umesema timu imefanya usajili mkubwa halafu unasema tena hers out! Iv huwo usajili mkubwa kafanya nani!? Umesahau ya miaka 4 iliyopita
 
Back
Top Bottom