Hongereni SSC, Ila kazi bado ni kubwa, je mtatoboa

Hongereni SSC, Ila kazi bado ni kubwa, je mtatoboa

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
SSC inahitaji point nne kusonga mbele. Je game yake ya home wydad atapoteza ?
Simba atamla Galaxy ?
Simba atamla Asec kwao au ku draw .

Maswali yote hayana majibu

SSC amejisogeza but bado kazi ipo

Game za wengine zitakuaje

Tupe uzoefu….. mnyama ataiona Robo?

Mmesahau yale ya Galaxy pale Taifa chini ya Manula number one , wanasema walikufa madhuluma

Tia neno mdau
 
Yanga hata iweje

Simba ndio ina attention kubwa Africa
Lazima tuifuatilie

Leo mmeruka kiunzi cha kwanza
 
24 February 2024 ndo anacheza na Asec then 2 March anamaliza game na Galaxy Dar.

Me naona atashinda zote
Asec iyo ngoma ngumu kumbuka nae bado ajajiakikishia nafasi ya kupita ila uyo galaxy kwa mkapa anapigwa labda makolo wafanye uzembe tu
 
Asec iyo ngoma ngumu kumbuka nae bado ajajiakikishia nafasi ya kupita ila uyo galaxy kwa mkapa anapigwa labda makolo wafanye uzembe tu

Anaugumu gani ?

Game za mwanzo zimemuendea poa but hana ugumu at all
 
We cheza zako mkuu,kila mtu anapambana kivyake huku
 
SSC inahitaji point nne kusonga mbele. Je game yake ya home wydad atapoteza ?
Simba atamla Galaxy ?
Simba atamla Asec kwao au ku draw .

Maswali yote hayana majibu

SSC amejisogeza but bado kazi ipo

Game za wengine zitakuaje

Tupe uzoefu….. mnyama ataiona Robo?

Mmesahau yale ya Galaxy pale Taifa chini ya Manula number one , wanasema walikufa madhuluma

Tia neno mdau
LABDA KUTOBOA NET
 
Ile game tulipotoka draw na ASEC ndio itatuponza. Maana tungeshinda ile Sasa hivi tungekuwa mbali.
 
Back
Top Bottom