Kuna mahali umeandika hivi, halafu ukaukimbia uzi:Labda kutoboa sikio
Baada ya mechi ya wydad na Simba .....washabiki watakuwa wakiimba hatumtaki benchika ...... hatumtaki mangungu
Asec iyo ngoma ngumu kumbuka nae bado ajajiakikishia nafasi ya kupita ila uyo galaxy kwa mkapa anapigwa labda makolo wafanye uzembe tu24 February 2024 ndo anacheza na Asec then 2 March anamaliza game na Galaxy Dar.
Me naona atashinda zote
LABDA KUTOBOA NETSSC inahitaji point nne kusonga mbele. Je game yake ya home wydad atapoteza ?
Simba atamla Galaxy ?
Simba atamla Asec kwao au ku draw .
Maswali yote hayana majibu
SSC amejisogeza but bado kazi ipo
Game za wengine zitakuaje
Tupe uzoefu….. mnyama ataiona Robo?
Mmesahau yale ya Galaxy pale Taifa chini ya Manula number one , wanasema walikufa madhuluma
Tia neno mdau
Kabisa ile game ilikua ya mnyama kabisa, hata ya jwaneng tulikua na nafasiIle game tulipotoka draw na ASEC ndio itatuponza. Maana tungeshinda ile Sasa hivi tungekuwa mbali.