mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 992
Sio hari ni ari. sawa MkuuHongereni vijana wa Taifa stars hakika leo tumeonyesha soka murua kabisa.Kile kipigo cha algeria lilikuwa somo zuri kwetu.Mpira tumecheza na matokeo tumepata.Taifa stars Wawa
Watanzania leo hamasa kubwa tumeiomyesha na tumeamsha hari za vijana wetu,Tumeonyesha kweli mashabiki ni wachezaji wa 12.
Taifa stars oyeee
sawa mzee kifimbo chezaSio hari ni ari. sawa Mkuu