Hongereni Taifa Stars Hongereni Watanzania

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
832
Reaction score
992
Hongereni vijana wa Taifa stars hakika leo tumeonyesha soka murua kabisa.Kile kipigo cha algeria lilikuwa somo zuri kwetu.Mpira tumecheza na matokeo tumepata.Taifa stars Wawa
Watanzania leo hamasa kubwa tumeiomyesha na tumeamsha hari za vijana wetu,Tumeonyesha kweli mashabiki ni wachezaji wa 12.
Taifa stars oyeee
 
Sio hari ni ari. sawa Mkuu
 
Taifa stars hakuna lolote. Unaifunga Congo halafu unajisifu?
Tungeifunga Algeria, Misri, Morocco, Cameroon, Ghana yaan wale wababe angalau. Congo ina mpira gani? Congo na Tanzania hatuchekani.
 
Back
Top Bottom