Hongereni tamthilia ya Jua Kali. Mmewekeza zaidi katika uhalisia na uelewedi na sio makalio na show off.

Hongereni tamthilia ya Jua Kali. Mmewekeza zaidi katika uhalisia na uelewedi na sio makalio na show off.

Tatizo tamthiliya Nzima imejaa wanyakyusa yaani Mbeya people mm ndipo wanaponiboa TU nikama inakaukabila flani hv japo wamejalibu kubance balance ila nyakyusa wamezidi saana
 
Wengine hatukumbuki Lin tuliangalia tamthiliya ni ya chanel gan na kingamuz gan
 
Back
Top Bottom