Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamedhibiti wapi?
Hebu njoo hapa stendi ya Mbezi mwisho tule mishikaki na pweza ndio utajua kuwa hizi stand za Dar hazinaga mwenyewe
Na ndio maana nimemualika aje jioni ajionee , yaani ni soko na migahawa kabisa na sio stend ya daladala.Mbezi Mwisho...sema mwamba hajafika hapo ile mida ya jioni
Wachagga wabishi sana ndio maana Magufuli aliwapiga spanaHiyo picha aliyoweka ni stendi ya daladala Mbezi Mwisho...sema mwamba hajafika hapo ile mida ya jioni
Mtoa uzi eti raia wanauliza hauna namba ya hiyo zebra hapo? Watu bwana!