Hongereni TANROADS Dar kwa kudhibiti wafanyabiashara ndani ya Stand

Wamedhibiti wapi?

Hebu njoo hapa stendi ya Mbezi mwisho tule mishikaki na pweza ndio utajua kuwa hizi stand za Dar hazinaga mwenyewe
 
Hiyo picha aliyoweka ni stendi ya daladala Mbezi Mwisho...sema mwamba hajafika hapo ile mida ya jioni
Wachagga wabishi sana ndio maana Magufuli aliwapiga spana

USSR
 
Mtoa uzi eti raia wanauliza hauna namba ya hiyo zebra hapo? Watu bwana!
 
Toa namba ya hiyo Zebra [emoji23] wazee wa kuchungulia hapana hapana bado kiduchu[emoji23] by King kik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…