mkosa yote
JF-Expert Member
- Nov 9, 2018
- 504
- 1,071
Watembea kwa miguu wakianza kugongwa usisahau kuja tena hapa kuwalaumu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani siku zote ambapo kulikuwa hakuna matuta MIAKA yote kabla ya juzi palikuwa Hapana watembea miguu?Watembea kwa miguu wakianza kugongwa usisahau kuja tena hapa kuwalaumu mkuu.
Na yale ya pale Gairo daah!! sijui watu huwa wanafikiria nini?!
Minilikuwa napita kwenye alama za njano lakini wakati wa kurudi hakuna ujaanja inabidi kuya vaatu.Yale matuta yalikuwa kiboko yani ulikuwa ukikaribia pale kupita paka uyalie timing
Mfano waliokiwa wanatoka vijibweni WALIKUWA wanapita upande wa w kwenye kituo cha mafuta kukwepa tu hayo matuta [emoji23]
Hata asubui hasimami mtu pale, ukishatoka umechelewa ukiangalia mbele wenzako wanamwaga moto naweweunaungatu hakuna kushangaa, ukisimama wanakupigia honi daah.Usalama unaanza kwa kuwa makini kwangu mimi binafs na mtumizi wa chombo...Ukiangalia pale mnadani,zebra ipo,ila hakuna anayesimama,hasahasa hawa bajaj mida ya jioni,labda tu awe anataka kupakia abiria...Na hivi matuta yametolewa imeingia dhana kwao kuwa pale ni pa kuteleza tu.
Hakuna namnaMinilikuwa napita kwenye alama za njano lakini wakati wa kurudi hakuna ujaanja inabidi kuya vaatu.
Wanawahi folen darajanHata asubui hasimami mtu pale, ukishatoka umechelewa ukiangalia mbele wenzako wanamwaga moto naweweunaungatu hakuna kushangaa, ukisimama wanakupigia honi daah.
Ilenjia asubuhi nikama mashindano hivi kuanzia kibada mbaka darajani.