Hongereni Tume HURU ya Uchaguzi Tanzania

Em tuachane na mambo ya Reform za Chadema, kwahy n serious tume imewaondoa Chadema kushiriki kisa hawajasain hizo kanuni?
 
Tume ya CCM eti ndiyo isimamie uchaguzi wa nchi - tumeshastuka.
 
Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
Mhhhhhh. Hata ukicheka mbele za watu ,utakuja na post
 
Em tuachane na mambo ya Reform za Chadema, kwahy n serious tume imewaondoa Chadema kushiriki kisa hawajasain hizo kanuni?
Sio tume, ni takwa la kisheria usiposaini, umenyoosha mikono. Hata mchezo wa Mpira una kanuni za kabla ya mchezo kuanza, wakati wa mchezo na baada.
 
Kuna shingo zinateseka asee. Imagine shingo iliyobeba hili fenesi.
 
Tume huru kila kitu huru. Bado CHADEMA wanaogopa
huyo mme wako mwenye kofia ndiye aliewaita dodoma kusaini maadili ya uchaguzi ni uhuni wa kishamba sana CCM siasa za ushindani maji ya shingo
 
Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.

Tukutane Oktoba na staili hii hii ya 2020

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…