Uchaguzi 2020 Hongereni Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Kuna mimbulula inapata miambili kutoka chama tawala iko radhi kuuwa watu ilimradi waendelee kufaidika wao, uwo sio uzalendo ni ujinga tena ni ujinga uliokithiri!!!
 
Mimi swali langu langu moja tu mtoa mada.

Kura huwa zinaibiwa wapi?
 
Kenge
 
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Njooni mniteke na mm
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    28.8 KB · Views: 1
  • 20201023_171057.jpg
    27.3 KB · Views: 1
Una macho huoni. Una masikio husikii. Je wewe ni mnufaika na uchafuzi huu wa mchakato wa uchaguzi?
 
Ndo nilosema, ppl will kill for mia2 ili bwanaa apite
 
Ccm hovyo kabisa, hata sasa tunsona upendeleo wa wazi kwa ccm kutoka vyombo vya dola ikiwemo nec
Hata Mimi mwanzo nilikua naamin hivyo lkn nimekaa chini nimefuatilia nikajifunza, nec kwa asilimia kubwa ipo neutral, na hata ikitaka ku favour let say TLP bado vigezo na taratibu zitawabana wao wenyw.

Kura zinapigwa chin ya uangaliz wa pande zote, zinahesabiwa chin ya uangaliz, zinabandikwa chin ya uangaliz/wakala n.k
Then total inakua wazi Sana maana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kupata total of ya vituo vyote, jimbo mpaka jumla ya kura ki taifa.
 
Mbowe afunga kazi Hai Nyomi ya Hataree!!

 
Mimi swali langu langu moja tu mtoa mada.

Kura huwa zinaibiwa wapi?
Huwezi kuiba kura hata siku moja, labda mawakala waamue kuuza haki ya mgombea wake.
 
Huwezi kuiba kura hata siku moja, labda mawakala waamue kuuza haki ya mgombea wake.
Najaribu kuwaza kura zinapoibiwa vituoni........maana baada ya kumalizika kwa zoezi la kupiga kura.

Kura huhesabiwa na matokeo kubandikwa kituoni.

Labda kwenye kuzijumlisha zote.. ....lakini hapa hapana mahusiano na kulinda kura....

Kujumlisha mara nyingi kuna fanyika siku moja baada ya uchaguzi.

Kwani vyama havina taratibu za kukusanya matokeo ya nakala za vituo vyote? Nauliza tu kama mjinga.
 
Una macho huoni. Una masikio husikii. Je wewe ni mnufaika na uchafuzi huu wa mchakato wa uchaguzi?
Hapana, Mimi Ni kijana dereva bodaboda, nimehitimu chuo miaka kadhaa iliyopita.

Sijawahi kunufaika na hayo Mambo, ila tu najaribu ku share elimu ili kupunguza lawama za wazi kwa serikal yetu na nec.

Ushuhuda, Jana nilikutana na wakala wa chama kimoja, nikawa namuuliza kazi yake na utaratibu mzima wa upigaj kura mpaka kutangaz, then nikauliza wataalamu wakaniongezea uelewa ndo maana nimekuja na mada hii.
 
Wewe ni pumbafu kabisa, unasifia tume iliyoengua walgombea kijinga, unasifia tume iliyopitisha wagombea kibao eti wamepita bila kupingwa! Unasifia tume ambayo kucha kutwa inawchimba mikwara wapinzani! Sheikh u me kula maharage ya wapi??
 
Wewe nilisha kushauri hiyo Minyoo yako inaexacerbate ubongo wako tumia Albendazol.

October 28th ni USHINDI WA KISHINDO.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hawa ndo wale wakitenganishwa mda wa paper anapotea kabisa na kubakia kutafuna kalamu
 
Utopoloy lengine na mia2 zake
Karibu Jamiiforums kijana nadhani utakuwa umemaliza chuo mwaka huu....Mchague JPM sasa anakwenda kulishughulikia tatizo la ajira kwa vijana kwa nguvu kubwa.

October 28th kura zote ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Wewe ni pumbafu kabisa, unasifia tume iliyoengua walgombea kijinga, unasifia tume iliyopitisha wagombea kibao eti wamepita bila kupingwa! Unasifia tume ambayo kucha kutwa inawchimba mikwara wapinzani! Sheikh u me kula maharage ya wapi??
Mahera huyo, amekuja kupima upepo.
 
Trinity katika 'Historia' ya Tanzania sijawahi Kuona Tume bora ya 'Uchaguzi' nzuri kama hii ya sasa Yenye 'Mkurugenzi' wake 'Mzanaki' Mwenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…