Peasant educator
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 209
- 187
Kuna mimbulula inapata miambili kutoka chama tawala iko radhi kuuwa watu ilimradi waendelee kufaidika wao, uwo sio uzalendo ni ujinga tena ni ujinga uliokithiri!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siondoki na utopolo wako, nabaki kinda kuraUsipanik kijana, tar 28 piga kura nenda nyumbn subir matokea.!
KengeHabari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari!
Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa wenye changamoto za kiafya.
Mimi Ni raia wa kawaida kabisa, ukweli wagombea wote Wana sababu ya kuchaguliwa na kutokuchaguliwa lakini kutokana na sera zao maamuzi yako binafsi Ni muhimu zaidi.
Sijaona sababu ya tume kulaumiwa kabla na baada ya uchaguzi kwani hawa jamaa wemeweka mfumo ulio wazi na haki.
Kwanza kabisa mawakala wa vyama vyote wapo ambao wanawakilisha kuona namna ya upigaji kura unavyoenda, idadi ya kura zitakazobandikwa, zilizotumwa Kama zinaendana na hesabu aliyoipata mgombea kwa kila kituo halafu mwisho jumla ya kura zote kijimbo mpaka kitaifa.
Kwa sababu hiyo sioni watu KULINDA kura baada ya kupiga, KUGOMEA matokea.
Tusione tunaonewa kiasi hicho, Mara kwa mara nimesikia baadhi ya wagombea wakihamasisha kulinda kura na kugomea matokea.
No.! No! Tubadirike waungwa na tutoe elimu kwa wasiofahamu mtaani kwetu, hakuna sababu ya kupigana mabomu, risasi na uharibifu wa aina yoyote ile.
Big up tume ya uchaguzi Tz kwa kuwa huru na haki!
Mungu ibariki Tz!
Una macho huoni. Una masikio husikii. Je wewe ni mnufaika na uchafuzi huu wa mchakato wa uchaguzi?Habari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari!
Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa wenye changamoto za kiafya.
Mimi Ni raia wa kawaida kabisa, ukweli wagombea wote Wana sababu ya kuchaguliwa na kutokuchaguliwa lakini kutokana na sera zao maamuzi yako binafsi Ni muhimu zaidi.
Sijaona sababu ya tume kulaumiwa kabla na baada ya uchaguzi kwani hawa jamaa wemeweka mfumo ulio wazi na haki.
Kwanza kabisa mawakala wa vyama vyote wapo ambao wanawakilisha kuona namna ya upigaji kura unavyoenda, idadi ya kura zitakazobandikwa, zilizotumwa Kama zinaendana na hesabu aliyoipata mgombea kwa kila kituo halafu mwisho jumla ya kura zote kijimbo mpaka kitaifa.
Kwa sababu hiyo sioni watu KULINDA kura baada ya kupiga, KUGOMEA matokea.
Tusione tunaonewa kiasi hicho, Mara kwa mara nimesikia baadhi ya wagombea wakihamasisha kulinda kura na kugomea matokea.
No.! No! Tubadirike waungwa na tutoe elimu kwa wasiofahamu mtaani kwetu, hakuna sababu ya kupigana mabomu, risasi na uharibifu wa aina yoyote ile.
Big up tume ya uchaguzi Tz kwa kuwa huru na haki!
Mungu ibariki Tz!
Ndo nilosema, ppl will kill for mia2 ili bwanaa apiteWatanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi
Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=
Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.
Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.
Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.
Haki huinua TAIFA
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hata Mimi mwanzo nilikua naamin hivyo lkn nimekaa chini nimefuatilia nikajifunza, nec kwa asilimia kubwa ipo neutral, na hata ikitaka ku favour let say TLP bado vigezo na taratibu zitawabana wao wenyw.Ccm hovyo kabisa, hata sasa tunsona upendeleo wa wazi kwa ccm kutoka vyombo vya dola ikiwemo nec
Najaribu kuwaza kura zinapoibiwa vituoni........maana baada ya kumalizika kwa zoezi la kupiga kura.Huwezi kuiba kura hata siku moja, labda mawakala waamue kuuza haki ya mgombea wake.
Hapana, Mimi Ni kijana dereva bodaboda, nimehitimu chuo miaka kadhaa iliyopita.Una macho huoni. Una masikio husikii. Je wewe ni mnufaika na uchafuzi huu wa mchakato wa uchaguzi?
Wewe ni pumbafu kabisa, unasifia tume iliyoengua walgombea kijinga, unasifia tume iliyopitisha wagombea kibao eti wamepita bila kupingwa! Unasifia tume ambayo kucha kutwa inawchimba mikwara wapinzani! Sheikh u me kula maharage ya wapi??Habari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari!
Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa wenye changamoto za kiafya.
Mimi Ni raia wa kawaida kabisa, ukweli wagombea wote Wana sababu ya kuchaguliwa na kutokuchaguliwa lakini kutokana na sera zao maamuzi yako binafsi Ni muhimu zaidi.
Sijaona sababu ya tume kulaumiwa kabla na baada ya uchaguzi kwani hawa jamaa wemeweka mfumo ulio wazi na haki.
Kwanza kabisa mawakala wa vyama vyote wapo ambao wanawakilisha kuona namna ya upigaji kura unavyoenda, idadi ya kura zitakazobandikwa, zilizotumwa Kama zinaendana na hesabu aliyoipata mgombea kwa kila kituo halafu mwisho jumla ya kura zote kijimbo mpaka kitaifa.
Kwa sababu hiyo sioni watu KULINDA kura baada ya kupiga, KUGOMEA matokea.
Tusione tunaonewa kiasi hicho, Mara kwa mara nimesikia baadhi ya wagombea wakihamasisha kulinda kura na kugomea matokea.
No.! No! Tubadilike waungwa na tutoe elimu kwa wasiofahamu mtaani kwetu, hakuna sababu ya kupigana mabomu, risasi na uharibifu wa aina yoyote ile.
Big up tume ya uchaguzi Tz kwa kuwa huru na haki!
Mungu ibariki Tz!
Wewe nilisha kushauri hiyo Minyoo yako inaexacerbate ubongo wako tumia Albendazol.Wewe hupaswi kumshukuru mungu kwa kukuweka hai kwani vigezo vyako vyote vya kuwatetea NECCCM Tumeccm na Polisiccm vyombo binafsi vya CCM ni haramu na vya kishetani, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaiamini wala kuipenda NECCCM Tumeccm hata siku moja kwani wameonyesha udhaifu mkubwa kipindi cha kampeni kwa kuingilia kampeni za vyama utazani nao wanagombea ubunge na Urais.
Na kibaya kupita vyote ni NECCCM Tumeccm kuwapitisha wabunge wa CCM kienyeji kwa njia haramu za kishetani kuwa wamepita bila kupingwa wakati wamepigwa lakini rufaa za wapinzani zikatupwa na NECCCM Tumeccm kwa njia za hovyo kwa visingizio visivyo na Tija
Hawa ndo wale wakitenganishwa mda wa paper anapotea kabisa na kubakia kutafuna kalamuHapana, Mimi Ni kijana dereva bodaboda, nimehitimu chuo miaka kadhaa iliyopita.
Sijawahi kunufaika na hayo Mambo, ila tu najaribu ku share elimu ili kupunguza lawama za wazi kwa serikal yetu na nec.
Ushuhuda, Jana nilikutana na wakala wa chama kimoja, nikawa namuuliza kazi yake na utaratibu mzima wa upigaj kura mpaka kutangaz, then nikauliza wataalamu wakaniongezea uelewa ndo maana nimekuja na mada hii.
Utopoloy lengine na mia2 zakeWewe nilisha kushauri hiyo Minyoo yako inaexacerbate ubongo wako tumia Albendazol.
October 28th ni USHINDI WA KISHINDO.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Karibu Jamiiforums kijana nadhani utakuwa umemaliza chuo mwaka huu....Mchague JPM sasa anakwenda kulishughulikia tatizo la ajira kwa vijana kwa nguvu kubwa.Utopoloy lengine na mia2 zake
Mahera huyo, amekuja kupima upepo.Wewe ni pumbafu kabisa, unasifia tume iliyoengua walgombea kijinga, unasifia tume iliyopitisha wagombea kibao eti wamepita bila kupingwa! Unasifia tume ambayo kucha kutwa inawchimba mikwara wapinzani! Sheikh u me kula maharage ya wapi??