Uchaguzi 2020 Hongereni Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Karibu Jamiiforums kijana nadhani utakuwa umemaliza chuo mwaka huu....Mchague JPM sasa anakwenda kulishughulikia tatizo la ajira kwa vijana kwa nguvu kubwa.

October 28th kura zote ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hajaweza for 5 year ataweza now. FYI maDG wa idara tofauti wameendika barua za kuomba kuajiri more than 2 years now hazijasainiwa na rais and this is a true info from a secure source sasa ww unataka kutuambia nn
 
2020
 
Attachments

  • 20201025_153246.jpg
    20201025_153246.jpg
    33.8 KB · Views: 1
Uhuru wa 'Tanzania' umeletwa na 'Mzanaki' na hakuna Watu makini, waadilifu, wakweli, wanaojiamini na 'Watendaji' wazuri nchini kama Wazanaki.
Ok sawa, zaidi Sana tumuombe Mungu awape akili na moyo wa kuendelea kutenda haki.!
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa yote mikubwa Duniani na pengine ingekuwa na kura ya veto, chini ya CCM Nchi imefirisika pesa nyingi zinatumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa ikiwemo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mateso ya kila aina,

Hawataki maendeleo na hata huto tumaendeleo kiduchu twa SGR bwawa la umeme flyover ununuzi wa Ndege ni 10% zao na kuna ufisadi mkubwa na tenda nyingi ni kampuni zao wenyewe na pindi wakilipwa pesa inazunguka inamrudia kaburu Mkoloni mweusi kwa njia moja au nyingine, CCM ni ile ile ukoo wa panya baba mama mtoto wote ni wezi
Baki na uongo wako. Subiri J5 tunavyoenda kuwaonyesha vibaraka kama wewe. Sisi Wazalendo tunaenda kuchagua maendeleo siyo fujo, tutachagua Wazalendo na siyo vibaraka wa Wazungu maana mali zetu ziwanufaishe Watanzania.
 
Hajaweza for 5 year ataweza now. FYI maDG wa idara tofauti wameendika barua za kuomba kuajiri more than 2 years now hazijasainiwa na rais and this is a true info from a secure source sasa ww unataka kutuambia nn
Acha porojo bwana mdogo hebu weka kura ya ndio kwa JPM.

JPM akiahidi anatekeleza.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Acha porojo bwana mdogo hebu weka kura ya ndio kwa JPM.

JPM akiahidi anatekeleza.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Magufuli out, na hii ishu ni ya kweli, DG WAMEANDIKA BARUA ZA KUAJIRI KWA SABABU WANAZIDIWA NA KAZI KTK IDARA TOFAUTI ILA HAWAJAPEWA RUHUSA YA KUAJIRI, WENGINE TOKA 2017,18,19 NA HATA 20. WEWE BISHA KWA POINT MANA MM NINA INFO ZA UHAKIKA
 
Usilete siasa za zaman hapa nyerere alokataa hizo ishu za kidictator.
Na ccm haijui kila na vipofu, JK alijenga Barbara, daraja kubwa kigamboni na airport na nyenginevo ila maisha haykusimama. Nyinyi Waze wa force account mnataka kutuletea issue za kikoloni
 
Habari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari!

Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa wenye changamoto za kiafya.

Mimi Ni raia wa kawaida kabisa, ukweli wagombea wote Wana sababu ya kuchaguliwa na kutokuchaguliwa lakini kutokana na sera zao maamuzi yako binafsi Ni muhimu zaidi.

Sijaona sababu ya tume kulaumiwa kabla na baada ya uchaguzi kwani hawa jamaa wemeweka mfumo ulio wazi na haki.

Kwanza kabisa mawakala wa vyama vyote wapo ambao wanawakilisha kuona namna ya upigaji kura unavyoenda, idadi ya kura zitakazobandikwa, zilizotumwa Kama zinaendana na hesabu aliyoipata mgombea kwa kila kituo halafu mwisho jumla ya kura zote kijimbo mpaka kitaifa.

Kwa sababu hiyo sioni watu KULINDA kura baada ya kupiga, KUGOMEA matokea.

Tusione tunaonewa kiasi hicho, Mara kwa mara nimesikia baadhi ya wagombea wakihamasisha kulinda kura na kugomea matokea.

No.! No! Tubadilike waungwa na tutoe elimu kwa wasiofahamu mtaani kwetu, hakuna sababu ya kupigana mabomu, risasi na uharibifu wa aina yoyote ile.

Big up tume ya uchaguzi Tz kwa kuwa huru na haki!

Mungu ibariki Tz!
Samahani unampongeza refa aliyeteuliwa na timu mojawapo inayoshiriki mashindano? Huyu refa anaetoa red card kwa timu pinzani tu?
 
Habari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari!

Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa wenye changamoto za kiafya.

Mimi Ni raia wa kawaida kabisa, ukweli wagombea wote Wana sababu ya kuchaguliwa na kutokuchaguliwa lakini kutokana na sera zao maamuzi yako binafsi Ni muhimu zaidi.

Sijaona sababu ya tume kulaumiwa kabla na baada ya uchaguzi kwani hawa jamaa wemeweka mfumo ulio wazi na haki.

Kwanza kabisa mawakala wa vyama vyote wapo ambao wanawakilisha kuona namna ya upigaji kura unavyoenda, idadi ya kura zitakazobandikwa, zilizotumwa Kama zinaendana na hesabu aliyoipata mgombea kwa kila kituo halafu mwisho jumla ya kura zote kijimbo mpaka kitaifa.

Kwa sababu hiyo sioni watu KULINDA kura baada ya kupiga, KUGOMEA matokea.

Tusione tunaonewa kiasi hicho, Mara kwa mara nimesikia baadhi ya wagombea wakihamasisha kulinda kura na kugomea matokea.

No.! No! Tubadilike waungwa na tutoe elimu kwa wasiofahamu mtaani kwetu, hakuna sababu ya kupigana mabomu, risasi na uharibifu wa aina yoyote ile.

Big up tume ya uchaguzi Tz kwa kuwa huru na haki!

Mungu ibariki Tz!
We ni mjinga.
 
Magufuli out, na hii ishu ni ya kweli, DG WAMEANDIKA BARUA ZA KUAJIRI KWA SABABU WANAZIDIWA NA KAZI KTK IDARA TOFAUTI ILA HAWAJAPEWA RUHUSA YA KUAJIRI, WENGINE TOKA 2017,18,19 NA HATA 20. WEWE BISHA KWA POINT MANA MM NINA INFO ZA UHAKIKA
Story za kwenye gahawa hizo..mchague JPM kwa MAENDELEO ya KWELI.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Usilete siasa za zaman hapa nyerere alokataa hizo ishu za kidictator.
Na ccm haijui kila na vipofu, JK alijenga Barbara, daraja kubwa kigamboni na airport na nyenginevo ila maisha haykusimama. Nyinyi Waze wa force account mnataka kutuletea issue za kikoloni
Mzee Nyerere alituonya tusifanye majaribio ya kuwapa uongozi watu wa hovyo, kama ofisi za chama tu zimewashinda kujenga ndio wataweza kuijenga NCHI.

October 28th ni USHINDI WA KIHISTORIA KWA MAGUFULI

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mzee Nyerere alituonya tusifanye majaribio ya kuwapa uongozi watu wa hovyo, kama ofisi za chama tu zimewashinda kujenga ndio wataweza kuijenga NCHI.

October 28th ni USHINDI WA KIHISTORIA KWA MAGUFULI

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kweli kabisa, ndo mana hatuwez muongezea 5 sababu ni kiongozi wa ovyo asiie na busara wala diplomacia
 
Yani he went to far mpaka kwenye ballot amejieka wa kwanza as hamna alphabetical order, haijawahi tokea Tanzania kiwa na mutu asiejielewa kuwa raisi. Na maendeleo ya kishindo yote yale bado ballot kajieka wa kwanza ili iweje, alaf ipo unaitetea NEC, we no mpumbav wa kutupwa na nimemaliza kuzozana na ww Mana wahenga walisema ""ukibishana na mjinga, mjinga ni ww unaebishana nae""
Pelekeni upuuzi wenu uko tbc
 
Back
Top Bottom