Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
- Thread starter
- #81
Tunza kitambulisho Cha kupigia kura, kesho kutwa tar 28 nenda kamchague rais, mbunge na diwan unao waamin Kisha nenda nyumbn subr matokeo.Yani he went to far mpaka kwenye ballot amejieka wa kwanza as hamna alphabetical order, haijawahi tokea Tanzania kiwa na mutu asiejielewa kuwa raisi. Na maendeleo ya kishindo yote yale badilik ballot kajieka wa kwanza ili iweje, alaf ipo unaitetea NEC, we no mpumbav wa kutupwa na nimemaliza kuzozana na ww Mana we walisema ""ukibishana na mjinga, mjinga ni ww unaebishana nae""
Pelekeni upuuzi wenu uko tbc
Wakipita uliowachagua sherekea, asipopita basi mpe ushirikiano aliyechaguliwa kwa manufaa yako na taifa kwa ujumla.
I