MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hapana hawajatumwa wengi wanaambiwa Tanzania kazi za ndani ni nyingi hivyo wanakuja kama mvua .Duuh hatari wanawezaje kuwa wengi hivyo kuna nini? Isije ikawa wametumwa kusambaza Ukimwi sio kawaida hio. Je, wanafanya shughuli gani ujasiliamali au kujiuza?
Uhamiaji sijui inakuaje huko mpakani maana ukiwauliza waliingiaje bongo hawaeleweki ila kuhusu kutoa mbunye wako vizuri sana yaani ni kama kumsukuma mlevi
Cc@GENTAMYCINE
Sent using Jamii Forums mobile app