GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huyu popoma amepewaje tuzo? Kwa kutumia vigezo gani?Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika Simu yangu.
Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
Utaratibu wa anonimyte na kulinda fake id zenu wameuwekaje? Isije ikawa mtego jamaa wasiojulikana wakaja kuwabana ke.....de.Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika Simu yangu.
Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
Hahaaaaa, nina hamu na UMUGHAKANasubiria wapost picha mkipokea hizo zawadi.. tuwatizame na kuona nani ni nani, nani ndio nani.
Mleta mada atakuwa yule mfupi kuliko wote.Nasubiria wapost picha mkipokea hizo zawadi.. tuwatizame na kuona nani ni nani, nani ndio nani.
Wewe umeshawahi hata tu Kuzawadiwa Tuzo Karatasi na Tuzo Pesa kwa Upopoma mkubwa wa Kutukuka Ulionao?Nasikia mnaenda kupewa tuzo mbao na chakula Cha mchana basi
Wali nyama + tuzo mbao πWewe umeshawahi hata tu Kuzawadiwa Tuzo Karatasi na Tuzo Pesa kwa Upopoma mkubwa wa Kutukuka Ulionao?
Ninachojua kila Mshindi atapewa Pesa ( Kamilioni fulani hivi ) na ama Simu au Laptop pamoja na Tuzo ya Ushindi ambayo Wengine kwa Nuksi Kubwa mlizonazo hata Mkisali au Mkiroga sana bado hamtashinda na kuzipata.Mambo ya ID fake naskia kwa kuzienzi ID fake mtapewa zawadi Fake. π
ππππAma kweliHalafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika simu yangu.
Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
Everything is under control Worry out.Utaratibu wa anonimyte na kulinda fake id zenu wameuwekaje? Isije ikawa mtego jamaa wasiojulikana wakaja kuwabana ke.....de.
Hili Zoezi ndilo nitalikataa na kubisha.Nasubiria wapost picha mkipokea hizo zawadi.. tuwatizame na kuona nani ni nani, nani ndio nani.
π mbona umesahau gariNinachojua kila Mshindi atapewa Pesa ( Kamilioni fulani hivi ) na ama Simu au Laptop pamoja na Tuzo ya Ushindi ambayo Wengine kwa Nuksi Kubwa mlizonazo hata Mkisali au Mkiroga sana bado hamtashinda na kuzipata.
Muhimu nimejua kuwa utapata milioni kadhaa kama zawadi, kwahiyo sisi tunaokudai ufanye mpango wa kupunguza madeni yetu hata kwa kulipa nusu nusu mkuu πHalafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika simu yangu.
Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
Tutamuona game changer πNasubiria wapost picha mkipokea hizo zawadi.. tuwatizame na kuona nani ni nani, nani ndio nani.
Hivi Wewe Mpuuzi unajua umenifanya Nicheke mno hadi nimeangusha Juice ya Mtu hapa nilipo?Vaa pama mana Bw. Cherehani aliondoa skio na ukivaa tu TUnajua ni wewe.