Hongereni Uongozi wa JamiiForums kwa kutoweka Hadharani Zawadi zetu Nono kwani Wengine Simu zetu sasa zinaisha Chaji tu kwa Kukopwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika simu yangu.

Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
 
Hugu
Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika Simu yangu.

Huyu popoma amepewaje tuzo? Kwa kutumia vigezo gani?
 
Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika Simu yangu.

Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
Utaratibu wa anonimyte na kulinda fake id zenu wameuwekaje? Isije ikawa mtego jamaa wasiojulikana wakaja kuwabana ke.....de.
 
Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika simu yangu.

Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
😂😂😂😂Ama kweli
 
Muhimu nimejua kuwa utapata milioni kadhaa kama zawadi, kwahiyo sisi tunaokudai ufanye mpango wa kupunguza madeni yetu hata kwa kulipa nusu nusu mkuu 😄
 
Back
Top Bottom