Hongereni vyombo vya habari kipindi cha maombolezo

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,791
Reaction score
1,830
Ikiwa leo ndio siku ya mwisho ya MAOMBOLEZO ya kitaifa kwa Hayati Rais Magufuli nitoe kongole kwa VYOMBO vyetu vya habari hususani vituo vya radio na televisheni kwa weledi wa hali ya juu hasa kwenye mpangilio wa vipindi(content) pamoja na nyimbo za MAOMBOLEZO.

Kwa hakika mmedhihirisha ule umoja na utamaduni wa watanzania unaosifika kote duniani.

Tukio la kiongozi wa nchi kututoka akiwa madarakani lilikua la ghafla na la kwanza katika historia ya uhai wa taifa letu.

Pongezi nyingi sana kwa "content managers" na wahariri wa radio na televisheni.

Nafahamu kuna baadhi ya radio na televisheni zinazomilikiwa na dini nyingine ambazo haziamini katika kuombea wafu (mfano Wapentekoste, Wasabato, Waislamu n.k.) lakini wote tumeshuhudia kwa mudawote 24/7 zikipiga nyimbo za Gospel+za kawaida kumuombea mwendazake apumzike salama.

Big up media za Tanzania

R.I.P. Magufuli

MUNGU Ibariki Tanzania
 
siamini kama siku za maombolezo zimeisha. kiukweli nilianza kuboeka.
 
Back
Top Bottom