Hongereni Wabunge wa Mbeya ila msiishie hapo!

Kwanza serikali inahisi imemalza kila kitu mbeya, kilichobaki ni kuishi.
 
Kwanza Mbeya imeanza kujengwa hovyo kipindi cha Tulia?
 
Mpangilio wa makazi ni wa OVYOOOO. Sijui kama watakuja kubadilika katika hili.

Hapo mlima nyoka wanampango wa kuchepusha barabara ya malori yanayoenda ZMBIA N. K
 
Uko sahihi, nimeishi Mbeya miezi 18 hivi.. kwa kweli ule mji unahitaji kupangwa pamoja na ujenzi wa miundombinu na majengo ya hadhi ya Jiji. Sijajua vigezo vya kuufanya Jiji vilikuwa nini hasa. Kwa muonekano wa miundombinu na upangwaji wa mji, Unazidiwa na Halmashauri za manispaa nyingi tu nchini.
 
Kwa ujenzi wa nyumba Nzuri na mpangilio wanazidiwa hadi na Wilaya ya Manyoni
 
Mpangilio wa makazi ni wa OVYOOOO. Sijui kama watakuja kubadilika katika hili.

Hapo mlima nyoka wanampango wa kuchepusha barabara ya malori yanayoenda ZMBIA N. K
Hakuna lisilowezekana waamke na kuanza kuhamasishana kupanga makazi yao na miji yao
 
Nakubaliana na wewe!
Hivi mlitaka Magufuli aje awaelimishe kujenga nyumba nzuri? Kila kitu mnamraumu Magufuli! Hapo Mbeya mambo shagarabagara kitambo jililieni wenyewe hata Samia hatawasaidia kitu nafikiri hali mnaiona hata kwenda Mbeya hajawaza! Mlimrushia mayai mabovu Magufuli basi pambaneni na hali zenu! Mji wa ovyo sana huo!
 
Nani huyo? Sugu?
Alikuwa anajiita Rais wa Mbeya! Nyinyi wana Mbeya maisha hayahitaji ujuaji ni akili na werevu lakino kujiona mnahaha tu hata wa kuwasikiliza hamna ni kama watu wa mkoa wa Kagera ujuaji mwingi Mji hakuna hata stendi ya maana ukifika kama uko wilayani kumbe uko mkoani!
 
Tanzania nzima hakuna jiji, kuna miji iliyochangamka tu...
 
Mbeya kwenye mipango miji na ujenzi wa nyumba bora wanatia aibu sana! Alafu eti linaitwa jiji?
 
Mbeya na Kagera ni baba mmoja mama mmoja! Mbwembwe nyingi ila kwao Kama takataka!
 
Tanzania nzima hakuna jiji, kuna miji iliyochangamka tu...
Hapana Arusha, Mwanza na Dodoma iwekeze huko mambo ya kubanana Dar hayana tija! Mfano wilaya ya Temeke watu wanaishi mazingira mabovu ya kutisha kiss uko Dar ukizingatia na lile joshi sasa yaani mpaka huruma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…