Miaka 6 kwa nini hakujenga?
Hakuna Rais amewahi kuipenda Mbeya labda Samia japo sioni tofauti na watangulizi hadi sasa,mikoa ya Kaskazini,Ziwa,Mashariki na Dom ameenda mara mbili mbili lakini Kusini Hajakanyaga.
Labda alichotusaidia ni kutoa spika,na manaibu Waziri 2 tuu.
Hata hivyo ni kipindi cha JK ndio Mbeya ilipata majengo marefu kwa mara ya kwanza kama NHIF Tower,NHC plaza,CWT nk hao ndio walizindua ujenzi wa majengo marefu..
Hata baada ya Kustaafu JK ameleta UDSM Mbeya na kuwa college pekee ya Afya ya Udsm.