Unajua Tatizo ni moja vijana wa Mbeya exposure ni ndogo! Wakitembea sana wanaenda boda hapo tunduma! Wakija Dar wanafikia Temeke! Ukifika Mbeya hakuna nyumba Kali za maana hata kando kando ya barabara kuu!Mbeya kwenye mipango miji na ujenzi wa nyumba bora wanatia aibu sana! Alafu eti linaitwa jiji?
Umemaliza kila kitu mkuuUnajua Tatizo ni moja vijana wa Mbeya exposure ni ndogo! Wakitembea sana wanaenda boda hapo tunduma! Wakija Dar wanafikia Temeke! Ukifika Mbeya hakuna nyumba Kali za maana hata kando kando ya barabara kuu!
Kuna mda nilikuwa nabishana na dogo mmoja wa Mbeya nikamwambia nchi hii wanaume ni Kanda ya ziwa na Kaskazini hata ukifika kwao unaona kazi wanazofanya mfano ukiwa hata pale Himo unaona kabisa kuwa huku kuna wanaume hapo bado hujaingia moshi mjini kati na Arusha ni kama ilivyo Mwanza,kahama na Geita!Mbeya na Kagera ni baba mmoja mama mmoja! Mbwembwe nyingi ila kwao Kama takataka!
Watu wa Maendeleo nchi Hii ni Kanda ya Kaskazini tu na sababu kuu ya wao kuwa na maendeleo ni kwamba tu hawaendekezi ushirikina na chuki za kimaendeleoKuna mda nilikuwa nabishana na dogo mmoja wa Mbeya nikamwambia nchi hii wanaume ni Kanda ya ziwa na Kaskazini hata ukifika kwao unaona kazi wanazofanya mfano ukiwa hata pale Himo unaona kabisa kuwa huku kuna wanaume hapo bado hujaingia moshi mjini kati na Arusha ni kama ilivyo Mwanza,kahama na Geita!
Acha utoto weweAtleast kipindi cha Sugu barabara nyingi ndani ya mji ziliboreshwa, kuanzia block T, ilemi, makongorosi rd, airport nk..ukiacha mipango miji.
Na wewe acha upuuzi,nani hajengi nyumba za kisasa?Miaka ya 2000 niliishi Jiji la Mbeya eneo la Mbalizi. Nilikaa kwenye jiji lile kwa miaka 4
Humu JF nimekuwa mkosoaji mkubwa wa Jiji la Mbeya Hasa kwa namna lilivyojengwa hovyo na nimekuwa nikisema humu halistahili kuwa jiji
Nimekuwa pia mkosoaji sana wa watu wa Mbeya kwamba sio watu wa maendeleo ila ni watu wanaoendekeza ushamba, ujenzi holela na hawajui kubambania maendeleo ya eneo lao hasa kwenye miradi mikubwa ikiwemo kuacha reli ya SGR kujengwa kwenda Kigoma na Mwanza huku wao TAZARA ikizidi kufa!
Baada ya kuanza kwa Bunge la Bajeti napenda kukiri kwa Mara ya kwanza nimependezwa na namna wabunge wa Mbeya walivyoonekana kuanza kuamka hasa baada ya kuanza kudai upanuzi wa barabara zao kuu na ujenzi wa Barabara bora!
Napenda kuwasihi watani zangu hawa kuwa wasiishie kudai barabara Nzuri tu na bypass, waende mbele zaidi kuzilazimisha halmashauri zao kupanga makazi na kuhakikisha ujenzi wampangilio unaanza kufanyika mkoani kwao!
Ni aibu Green city kujengwa hovyo namna ile sasa wabunge wa Mbeya waanze kulazimisha halmashauri zao kupanga makazi na miji yao! Waelimishemi na wananchi wenu basi wajenge nyumba nzuri na za kisasa!
Hongereni wana Mbeya kwa kuamka! Endeleeni kukomaa mjengewe hizo double road na msiache kukomaa pia utanuzi wa Barabara uanzie Mlima nyoka!
Su... ameulaza sana huo mkoa.Magufuli aliuchukia mkoa kwa sababu zake mwenyewe.
Acha chuki Kwa Magufuli Bila Sababu za msingi mchawi wa maendeleo ni kikwete kisa wananchi kumpiga mawe kule chunya alichukia sana mbeya ila Magufuli alipo ingia alitoa Ahadi ya kuipanua Ile Barabara na kuwezesha ujenzi wa Barabara za kisasa . Kikwete ndiyo alichangia kuhujumu maendeleo Jiji la mbeya plus siasa za upinzani kias zimeathiriMagufuli aliuchukia mkoa kwa sababu zake mwenyewe.
Wanaweza ulaza ila watu wake hawajalala ,,kwa Takwimu zote za Maendeleo ni namba 3Su... ameulaza sana huo mkoa.
Mbeya watu wanajenga majumba mazuri shida mbeya ni mipango miji wamelala sana kuliko kawaida hata mifumo tu ya maji taka mbeya ni shida kuhusu nyumba zipo kibao za maana tuMnatakiwa mfanya kazi kubwa sana kuelimishana na kuhamasishana kujenga nyumba nzuri na bora ! Nendeni mkajifunze hata Manyoni tu Singida wanyaturu walivyoamka na kuanza kujenga nyumba nzuri, bora na za kisasa!
Pia msiache kuhamasisha mipango miji! Kati ya sehemu nilizoishi sehemu ambayo ingependeza zaidi hapa Tanzania endapo pamgepangiliwa kimakazi ni Mkoa wa Mbeya!
Chukueni hatua!
Mbeya ni population na uchumi mkubwa kwahiyo ilikuwa lazima tuUko sahihi, nimeishi Mbeya miezi 18 hivi.. kwa kweli ule mji unahitaji kupangwa pamoja na ujenzi wa miundombinu na majengo ya hadhi ya Jiji. Sijajua vigezo vya kuufanya Jiji vilikuwa nini hasa. Kwa muonekano wa miundombinu na upangwaji wa mji, Unazidiwa na Halmashauri za manispaa nyingi tu nchini.
Miaka 6 kwa nini hakujenga?Acha chuki Kwa Magufuli Bila Sababu za msingi mchawi wa maendeleo ni kikwete kisa wananchi kumpiga mawe kule chunya alichukia sana mbeya ila Magufuli alipo ingia alitoa Ahadi ya kuipanua Ile Barabara na kuwezesha ujenzi wa Barabara za kisasa . Kikwete ndiyo alichangia kuhujumu maendeleo Jiji la mbeya plus siasa za upinzani kias zimeathiri
Sasa mipango si serikali ndiyo wa kulaumiwaMbeya kwenye mipango miji na ujenzi wa nyumba bora wanatia aibu sana! Alafu eti linaitwa jiji?
Acha uongo wewe fala labda tukupe shule ya bure wakaz WA mbeya wanafanya biashara za mitumba wanapeleka zambia,Zimbabwe ,Angola , Botswana na wengine wanafika had south Africa kingine watu mbeya sio hoi hoi Mzee wanapambana na ndiyo maana vijana ukienda mbeya wapo bize kusaka pesa na Wana mafanikio Katika Hilo hukuti mtegemezi kuleUnajua Tatizo ni moja vijana wa Mbeya exposure ni ndogo! Wakitembea sana wanaenda boda hapo tunduma! Wakija Dar wanafikia Temeke! Ukifika Mbeya hakuna nyumba Kali za maana hata kando kando ya barabara kuu!
Hao ni wale wapuuzi waliokariri..Hao waache hivyo hivyo usiwastue ,nimesema kunguru mwingine akisema eti Mbeya hawajengi nyumba za kisasa nikaishia kucheka tuu.Acha uongo wewe fala labda tukupe shule ya bure wakaz WA mbeya wanafanya biashara za mitumba wanapeleka zambia,Zimbabwe ,Angola , Botswana na wengine wanafika had south Africa kingine watu mbeya sio hoi hoi Mzee wanapambana na ndiyo maana vijana ukienda mbeya wapo bize kusaka pesa na Wana mafanikio Katika Hilo hukuti mtegemezi kule
Kuhusu miundombinu Hilo sio kosa la wananchi ni kosa la serikali na adui WA maendeleo mbeya ni kikwete watu kibao wanajua Hilo alituhujumu kipind chake
Acha uongo wee kenge mjaneSu... ameulaza sana huo mkoa.
hii sio mkweli mkuu rudi vizuri ukachekMiaka 6 kwa nini hakujenga?
Hakuna Rais amewahi kuipenda Mbeya labda Samia japo sioni tofauti na watangulizi hadi sasa,mikoa ya Kaskazini,Ziwa,Mashariki na Dom ameenda mara mbili mbili lakini Kusini Hajakanyaga.
Labda alichotusaidia ni kutoa spika,na manaibu Waziri 2 tuu.
Hata hivyo ni kipindi cha JK ndio Mbeya ilipata majengo marefu kwa mara ya kwanza kama NHIF Tower,NHC plaza,CWT nk hao ndio walizindua ujenzi wa majengo marefu..
Hata baada ya Kustaafu JK ameleta UDSM Mbeya na kuwa college pekee ya Afya ya Udsm.
Barabara , huelewi tu?