Hongereni Wakenya kwa kuwa na Prof. Patrick Lumumba

presenter

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
69
Reaction score
22
Ninaitwa Athumani Ntoga, ni mtanzania na pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam. Wiki iliyopita tulitembelewa na ugeni mzito katika chuo chetu na nchi yetu ya Tanzania kwa ujumla. Tulitembelewa na Prof. Patrick Lumumba (P.L.O) katika kumuenzi Mwl. Julius Nyerere katika "Kigoda cha Mwalimu Nyerere" na siku hiyo PLO alikuwa mhadhiri aliyewasilisha mada. Kiukweli sikuwahi kuona mzungumzaji bora Afrika Mashariki kama Patrick Lumumba na siku hiyo alibadilisha mawazo ya watanzania wengi mno. Hakika wakenya mmebarikiwa kuwa n mtu kama PLO na ninatamani angekuwa ni Mtanzania ili tuwe tunayapata aliyonayo kila siku. Nimalizie kwa kunukuu aliyoyasema
"We are the authors of our own misfortunes"
 
Hapo sawa sana kaka. Yaani nabii hajulikani nyumbani, sisi huku tumemtelekeza PLO na kuwaenzi wanasiasa wenye tumbo zisizoshiba hela za umma.
 
Dah....kweli waafrika hatuthamini kilicho chetu....nadhani ni muda wa kubadilika sasa maana PLO ni mmoja kati ya waliochangia upatikanaji wa katiba mpya nchini kwenu.
 
Ninaitwa Athumani Ntoga, ni mtanzania na pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam. Wiki iliyopita tulitembelewa na ugeni mzito katika chuo chetu na nchi yetu ya Tanzania kwa ujumla. Tulitembelewa na Prof. Patrick Lumumba (P.L.O) katika kumuenzi Mwl. Julius Nyerere katika "Kigoda cha Mwalimu Nyerere" na siku hiyo PLO alikuwa mhadhiri aliyewasilisha mada. Kiukweli sikuwahi kuona mzungumzaji bora Afrika Mashariki kama Patrick Lumumba na siku hiyo alibadilisha mawazo ya watanzania wengi mno. Hakika wakenya mmebarikiwa kuwa n mtu kama PLO na ninatamani angekuwa ni Mtanzania ili tuwe tunayapata aliyonayo kila siku. Nimalizie kwa kunukuu aliyoyasema
"We are the authors of our own misfortunes"
Good to hear that,but i don't know why he was sacked from being the chairman of the largest body that fights corruption in Kenya(KACC).So we don't know if it was a ploy or what?
 
Hapo sawa sana kaka. Yaani nabii hajulikani nyumbani, sisi huku tumemtelekeza PLO na kuwaenzi wanasiasa wenye tumbo zisizoshiba hela za umma.

Kama akina Tundu Lisu na Chagga Development Manifesto yao.
 
Good to hear that,but i don't know why he was sacked from being the chairman of the largest body that fights corruption in Kenya(KACC).So we don't know if it was a ploy or what?

When he was addressing about corruption and it's effects in Uganda, he said that he was sacked because he and his team was asking a lot of questions about corruption in Kenya. He always stood for truth that's why they dismissed him and his members.....
 
Hapo sawa sana kaka. Yaani nabii hajulikani nyumbani, sisi huku tumemtelekeza PLO na kuwaenzi wanasiasa wenye tumbo zisizoshiba hela za umma.

Duh nakumbuka jinsi alipoingia Intergrity House na kwenda kusimamia principles matokeo yake akaondoka kwa aibu.Hiyo ndo politics huwa haitaki wenye weledi.
 
Ni tumbo lisiloshiba!

Ulijifunza Kiswahili shule ya msingi vijiweni ama vipi. Nimetumia neno "wanasiasa" hivyo wingi wa "tumbo" ni "tumbo". Tatizo lenyu ni kuwa Kiswahili cha uandishi na fasaha huwa kimewapiga chenga. Mnadhani kuongea tu huko uswahilini basi.
 
When he was addressing about corruption and it's effects in Uganda, he said that he was sacked because he and his team was asking a lot of questions about corruption in Kenya. He always stood for truth that's why they dismissed him and his members.....

One of the best speaker,,ever in our times,,,,spoke so passionately
about rampant corruption in our country,,,,and,,surprise, surprise,,
Mwai Kibaki appoints him as the head of anti corruption in Kenya.

Then,,we thought that,, it was the end of corruption in Kenya.

But,,,we waited and waited,,,until questions started being asked,,,he
told us that he was lining up a least of big 'fishes' as he called
it.

We continued to wait,,,then,,,he told us that before going for the big
fishes,,,he had to start with the,,small ones.

So,,we had to wait for this messiah to come up with,, best formulas
and answers,,,, we had been waiting for.

All this time,,,he was earning a fat salary,,,about 2 million
and something kshs, per month.

We waited and continue to wait and nothing was happening
until,,,,,suddenly,,,he was removed from that office.

This was the end of him. Those fiery speeches were no more.

If he was sacked because of asking too many questions,,,that,,
we don't know,,,for we never heard him complaining of it.

But,,there is one thing i have come to learn,,,that are two different
things,,,that is,,,

Talking and,,,,,,,,,,,,,,, walking the talk.
 
Duh nakumbuka jinsi alipoingia Intergrity House na kwenda kusimamia principles matokeo yake akaondoka kwa aibu.Hiyo ndo politics huwa haitaki wenye weledi.

Kaka hii ni Afrika, ukithubutu kuwa mweledi basi ndio mwisho wako. Intergrity house hapaingii watu aina ya PLO, aidha upigwe risasi na kufia mbali ama ushurutishwe kiasi cha kuacha mwenyewe, au kwa kuogopa umma, wakufute tu kimya bila kukudhuru.
 
Ulijifunza Kiswahili shule ya msingi vijiweni ama vipi. Nimetumia neno "wanasiasa" hivyo wingi wa "tumbo" ni "tumbo". Tatizo lenyu ni kuwa Kiswahili cha uandishi na fasaha huwa kimewapiga chenga. Mnadhani kuongea tu huko uswahilini basi.

Acha kutetea makosa, nimekusahihisha kwenye "tumbo zisizoshiba" hilo ni kosa, hakuna kitu kama hicho kwani kama ulivyoandika neno tumbo halibadiliki linabaki kuwa tumbo iwe ni uwingi au Umoja, hivyo ilipaswa iwe "tumbo lisiloshiba" na SIYO tumbo zisizoshiba kama ulivyoandika! Ni rahisi ni kihivyo tu...
 
Hivi kwa Kiswahili cha kwenyu huko ni sahihi kusema "wanasiasa wenye tumbo lisiloshiba". Kumbuka sizungumzii kuhusu tumbo moja bali tumbo nyingi za wanasiasa. Bwana nenda shule.
 
Wewe unazidi kujichanganya na kufanya makosa, kwanza siyo "kwenyu" bali ni "kwenu", na hakuna kitu kama tumbo nyingi, na tatu unapaswa uandike Wanasiasa wenye tumbo lisiloshiba ndio sahihi!
 
Good to hear that,but i don't know why he was sacked from being the chairman of the largest body that fights corruption in Kenya(KACC).So wen don't know if it was a ploy or what?
He was sacked kwa sababi za kisiasa turn,alikuwa threat to voltures bao walikuwa wamejiandaa kuiba pesa za umma kupitia miradi ya serikali kwa mfano railway saga nk
 
Wewe unazidi kujichanganya na kufanya makosa, kwanza siyo "kwenyu" bali ni "kwenu", na hakuna kitu kama tumbo nyingi, na tatu unapaswa uandike Wanasiasa wenye tumbo lisiloshiba ndio sahihi!
Nyie kiswahili police wapi mwenzake polisi askari kanzu watanzania hawajui kijueleza kwa kiswahili mufti
 
Hivi kwa Kiswahili cha kwenyu huko ni sahihi kusema "wanasiasa wenye tumbo lisiloshiba". Kumbuka sizungumzii kuhusu tumbo moja bali tumbo nyingi za wanasiasa. Bwana nenda shule.
Its OK kusema wingi wa tumbo "tumbo zao" hazishibi...nyote hamjui nendeni shule
 
Back
Top Bottom