presenter
Member
- Nov 27, 2013
- 69
- 22
Ninaitwa Athumani Ntoga, ni mtanzania na pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam. Wiki iliyopita tulitembelewa na ugeni mzito katika chuo chetu na nchi yetu ya Tanzania kwa ujumla. Tulitembelewa na Prof. Patrick Lumumba (P.L.O) katika kumuenzi Mwl. Julius Nyerere katika "Kigoda cha Mwalimu Nyerere" na siku hiyo PLO alikuwa mhadhiri aliyewasilisha mada. Kiukweli sikuwahi kuona mzungumzaji bora Afrika Mashariki kama Patrick Lumumba na siku hiyo alibadilisha mawazo ya watanzania wengi mno. Hakika wakenya mmebarikiwa kuwa n mtu kama PLO na ninatamani angekuwa ni Mtanzania ili tuwe tunayapata aliyonayo kila siku. Nimalizie kwa kunukuu aliyoyasema
"We are the authors of our own misfortunes"
"We are the authors of our own misfortunes"