Yenga08
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 458
- 894
Toka ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya huyu ndugu wana Mbeya hawajawahi kumkubali kabisa, maana utendaji wake wa kazi ni wa sifasifa tu na mda wote kwa media siyo kama Jembe la Simiyu lililopelekwa Dodoma, hongereni saana pia wana Idodomya.
Naamin kabisa watu wa Mbeya watakuwa na furaha sana kwa kuondolewa huyu mtu. Japo wana Mwanza lazima wamenung'unika sana kupelekewa huyu jamaa.
Ni vyema watawala wetu muwe mnaongoza kwa weledi na utu, maana kuna watu wanaongoza kama vile wao ni wao wanasahu kuwa cheo ni Dhamana.