Wapumbavu tuu hao majizi yalibanwaUkiulizwa haswa ni kosa gani chalamila alifanya huna jibu, angekua alikisea angetumbuliwa. Kapanda cheo karnda jiji la la pili kwa ukubwa Tz.
Sasa ndugu yetu usiye tumbili wa Ulaya au unaonanongwa kupata mawazo mbadala,au ni moja wa mliokwamia awamu pendwa, iliyopita.Mama saamia anajua wazi kuwa anapaswa kuweka mazingira sawia kwenye baadhi ya maeneo ya nchi ili kurahisisha kuendelea kuyashikilia maeneo husika kisiasa,tulio wengi tunaungalia uteuzi wa mama kwenye angle moja tu ya utendaji na kuziacha zingine mbili muhimu yaani angle ya kisiasa na ulinzi.
mnao shangaa kumuona chalamilla Mwanza basi mmekuwa vipofu kwenye angle ya kisiasa,kuondoka kwa mwenda zake kunaifanya kanda ya ziwa kuwa eneo linalo elea, linaweza kulalia kokote kisiasa yaani upinzani au CCM.
Na kwa historia ya eneo hili huwa halina lelemama majimbo yote mawili ya mwanza kurudi upinzani sio ishu,nampa pole ndugu yangu chalamilla ajipange amefika kunako.
Watu wa eneo hili sio wababe kama Mbeya ila wanajua jinsi ya kumkamata nyoka na kumuua bila maumivu anakufa huku anatabasamu, wajua kushambulia kwa dharula, kwa kushitukiza bila taarifa huku ukijiamini kuwa uko sawa kumbe sio sawa yaani kwa ujumla ni wanadipromasia wazuri hawatataki marumbano wala tambo ila wanajua kutenda wanapokuwa na hasira.
Kabla ya utapeli wa wizi wa kura hauja komaa waliwahi kuishanga CCM kule Bariadi,Magu na Mwanza mjini. nadhani mlio wengi mnanielewa CCM inahitaji watu wa aina gani kanda ya ziwa, Chalamilla wa Mbeya sio Chalamilla utakayemuona mwanza,Chalamila utakeyemuona mwanza ni Chalamilla mwanasiasa na anaetumia busara.
Wapo mnao laumu kwa nini Chalamila kabakizwa hayo ndio majibuSasa ndugu yetu usiye tumbili wa ulaya au unaonanongwa kupata mawazo mbadala,au ni moja wa mliokwamia awamu pendwa,iliyopita.
Ni wachache wanao lijua hilo,na kwa mtizamo wa haraka waliopo wajiandae.Mwanza hawajawai kuchagua ccm toka mwaka 1995 ukiona ccm imeshinda ujuewizi wa kula hasa nyamagana
Mwanza walikuwa wamefanya mapinduzi makubwa mwaka 2020 kama uchaguzi ungekuwa huru dunia ingeshangazwa.
Majeraha ya uchaguzi 2020 yatakuwa mala mbili ya 2025 chadema ina nguvu sana kanda ya ziwa ikiwa kitovu ni mwanza.
Hapo sijasema habari ya yeyote, ila ipo mitazamo tofauti na matamanio ya mtu moja moja pamoja na makundi yaliyo jipambanua kwa mirengo yao. Binafsi naamini katika kushikishana ili kupata matokeo bora.Wapo mnao laumu kwa nini Chalamila kabakizwa hayo ndio majibu
Ni mwanasiasa mzuri sana ila ni mkurupukaji wakati mwingine,anahitaji utulivu.huyo jamaa namuonaga kama hatoshi
Uko vizuri,tuvute subiraHapo sijasema habari ya yeyote, ila ipo mitazamo tofauti na matamanio ya mtu moja moja pamoja na makundi yaliyo jipambanua kwa mirengo yao. Binafsi naamini katika kushikishana ili kupata matokeo bora.
Nahisi umenielewa vizuri kabisa,kama mama atakuwa amekosea hapa,ajue wazi amekosea pakubwa,si amini kama kama anaweza kufanya kosa kubwa la kimkakati kama hilo.Jimbo la nyamagana ndiyo Jimbo pekee ambalo huamua matokeo ya uchaguzi katika kanda ya ziwa.
Mfano mzuri ni mwaka 2010 ambapo Jimbo la nyamagana lilienda chadema, matokeo yake majimbo yafuatayo yalienda chadema, Ilemela, Ukerewe, Bukoba Mjini, Biharamuro Magharibi, Meatu, Maswa Mashariki, Maswa Magharibi, na upepo ulivuma mpaka mpanda mjini.
Kwa hiyo, eneo hili ni eneo muhimu Sana katika kuishika kanda ya ziwa na kushinda nafasi ya urais.
Pole ya nini,usitusemee.Pilipili usiyoila inakuwashia nini?Acheni chuki za kisiasa?Toka ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya huyu ndugu wana Mbeya hawajawahi kumkubali kabisa, maana utendaji wake wa kazi niwasifasifa tu na mda wote kwa media siyo kama Jembe la Simiyu lililopelekwa Dodoma.., hongereni saana pia wana Idodomya.
Naamin kabisa watu wa Mbeya watakuwa na furaha sana kwa kuondolewa huyu mtu., Japo wana Mwanza lazima wamenung'unika sana kupelekewa huyu jamaa.
Ni vyema watawala wetu muwe mnaongoza kwa weledi na utu, maana kuna watu wanaongoza kama vile wao ni wao wanasahu kuwa cheo ni Dhamana.
Sisi Mwanza tunamtaka sana Chalamilla mchapa kazi mzuri anatufaa sana sisi wana Mwanza.Toka ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya huyu ndugu wana Mbeya hawajawahi kumkubali kabisa, maana utendaji wake wa kazi niwasifasifa tu na mda wote kwa media siyo kama Jembe la Simiyu lililopelekwa Dodoma.., hongereni saana pia wana Idodomya.
Naamin kabisa watu wa Mbeya watakuwa na furaha sana kwa kuondolewa huyu mtu., Japo wana Mwanza lazima wamenung'unika sana kupelekewa huyu jamaa.
Ni vyema watawala wetu muwe mnaongoza kwa weledi na utu, maana kuna watu wanaongoza kama vile wao ni wao wanasahu kuwa cheo ni Dhamana.