Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Hata kama kwenye kura za maoni alipita, sasa imedhihilika kwamba umma haumtaki! asanteni watu wa Rombo tuko pamoja!:hippie:
 
afadhali naye amefulia gafura kama landslide vote walivyozoea ssisem
 
Peoples power speaks louder than fisadi's money!
 
huu ni ushindi wa watanzania kweli kweli, na kimsingi nchi sasa itaenda sawa hebu tuone porojo za amani kuvunjika ziko wapi.
 
Mramba aliwaambia wanawake wa Rombo kua "Hamna mwanamke anayeweza kuzaa Mbunge zaidi ya mama yake na atakua Mbunge mpaka atakapo kufa ndio atatokea mwingine" Hilo liliwaudhi sana Warombo na kina Mama wa Rombo wakiamua wanafanya kweli.
Tunashukuru kua mama wa "Joseph Selasini naye anaweza kuzaa Mbunge.

Heshima Mnene,

Bandiko lako limenitia uchungu yaani hawa mafisadi wamefikia mahali pa kutudharau namna hii.
 
Mungu anaweza jamani, tuna kila sababu ya kusema Asante maana amewaongoza kina Kimario,Masawe, Shirima,Tarimo nk. Kule Rombo kumtoa huyu fisadi.
CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
 
yaani bunge sasa limejipanga vizuri, yaani litakuwa na kikwete na wanachadema tu heeeeeeeeeeee at long last
 
Wadau motokea ndo yametangazwa, sasa hivi na bwa j selasini amekukwa mbunge wa rombo kwa zaidi ya 50% +

source mimi mwenyewe niko rombo

shangwe zimeaza, rombo hapa mkuu rombo
 
thnx mkuu..! tupe pia idadi ya kura walizopata..! if possible na za urais..!
 
duuuuu CHADEMA WEEEEEE INANIPA RAHA KWELI! JAMANI!
 
Back
Top Bottom