Hongereni wananchii, leo Dar ilikua ni kijani na njano

Hongereni wananchii, leo Dar ilikua ni kijani na njano

Kumbuka pia hata hao Yanga walifanya kampeni hapo hapo Wasafi engineer helse alifanya exclusive interview na sports Arena siku ya ijumaa na kupata promo kubwa na akina Maulidi kitenge na mwenzake Yusuph mkule na crew nzima ya sports Arena na sports court au umesahau?
tatizo ni tambo za manara na kuwajaza upepo mashabiki wa simba...mwisho wa siku mkaaibika magepu kibao

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Haaaaaahaaaa viwanja viwili? Acha kuongopa hilo ndio lilikuwa lengo lenu ila hamkujaza tuweke ushabiki pembeni siku ile taifa haikujaa shamba la bibi hakukuwa na watu kabsaaaaa nusura ile bigscreen iibiwe hao Madrid wenyewe huwa wanajaza uwanja mmoja nyie digidigi eti mnaongea kwa kubana pua "tutajaza viwanja viwiliiiii" km upo mkoani hata TV hukuangalia unaongopewa vilijazwa tuskilize tuliomjini hapa uongo mlibuma
Waambie waambie hawa pimbi wa Mnyero fc
 
Back
Top Bottom