Ndugu yangu,hayo ma gap yapo wapi me mbna siyaoini?,Acha kudanganya watu , magape yote hayo unasema mmejaza uwanja , sema mlichokifanya ni kutawanyika kwenye viti muonekane mmejaza uwanjaView attachment 1553653
Achana nao hao waimba taarabu hawana hoja, wamevaa miwani ya mbao wao kila kitu wanakosoa, kila anachofanya manara wanafatisha. Watalishwa mavi siku moja..Ndugu yangu,hayo ma gap yapo wapi me mbna siyaoini?,
Huku Dar Jiji limekuwa mbogamboga haswa!Ni kwa sababu simba wako Arusha
tatizo ni tambo za manara na kuwajaza upepo mashabiki wa simba...mwisho wa siku mkaaibika magepu kibaoKumbuka pia hata hao Yanga walifanya kampeni hapo hapo Wasafi engineer helse alifanya exclusive interview na sports Arena siku ya ijumaa na kupata promo kubwa na akina Maulidi kitenge na mwenzake Yusuph mkule na crew nzima ya sports Arena na sports court au umesahau?
Waambie waambie hawa pimbi wa Mnyero fcHaaaaaahaaaa viwanja viwili? Acha kuongopa hilo ndio lilikuwa lengo lenu ila hamkujaza tuweke ushabiki pembeni siku ile taifa haikujaa shamba la bibi hakukuwa na watu kabsaaaaa nusura ile bigscreen iibiwe hao Madrid wenyewe huwa wanajaza uwanja mmoja nyie digidigi eti mnaongea kwa kubana pua "tutajaza viwanja viwiliiiii" km upo mkoani hata TV hukuangalia unaongopewa vilijazwa tuskilize tuliomjini hapa uongo mlibuma
Bbubbbbb bHuku Dar Jiji limekuwa mbogamboga haswa!
tatizo ni tambo za manara na kuwajaza upepo mashabiki wa simba...mwisho wa siku mkaaibika magepu kibao
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app