Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Moro ndio ilikuwa Yenyewe siku hizi hakuna kitu. Moro ya kipindi cha Nyuma wakati tunapiga ndondo uwanja wa Shujaa pale. Kulikuwa na Borkina Faso, Young boys, Jamaica, Jabarl hilla, Moro Kids n.k ndio zilizowatoa akina Jumanne Shengo Tondolo msela wangu wa Maghorofani pale Kihonda, Kimune Mwita, Huyo Mwakingwe, Betwel, Kaseja, Kipanya Malapa, Abdul Ramadhani, Marehemu Masamaki, Salhina Mjengwa n.k. Hao tulipiga nao ndondo pale shujaa.Emanuel Gabriel
Shedrack Nsajigwa
Godfrey Bonny
Godwin Aswile
n.k
Nyanda za juu kusini, kanda ya ziwa, Tanga, Kigoma na Moro hizi sehemu zimetoa wachezaji wengi sana