Hongereni Wanyakyusa kwa kuongoza kutoa nyota wengi wa Mpira wa miguu

Emanuel Gabriel
Shedrack Nsajigwa
Godfrey Bonny
Godwin Aswile
n.k

Nyanda za juu kusini, kanda ya ziwa, Tanga, Kigoma na Moro hizi sehemu zimetoa wachezaji wengi sana
Moro ndio ilikuwa Yenyewe siku hizi hakuna kitu. Moro ya kipindi cha Nyuma wakati tunapiga ndondo uwanja wa Shujaa pale. Kulikuwa na Borkina Faso, Young boys, Jamaica, Jabarl hilla, Moro Kids n.k ndio zilizowatoa akina Jumanne Shengo Tondolo msela wangu wa Maghorofani pale Kihonda, Kimune Mwita, Huyo Mwakingwe, Betwel, Kaseja, Kipanya Malapa, Abdul Ramadhani, Marehemu Masamaki, Salhina Mjengwa n.k. Hao tulipiga nao ndondo pale shujaa.
 
Majina yanayoanza na "mwa" hata mikoa Kama Tanga yamejaa,mwamnyeto si mtu wa mbeya huyu nafikiri...
 
Bado Mkuu hata sasa wako juu sana
 
Nianze na Hernly Moris aliwahi kuwa mfungaj Bora, Ulimboka Mwakingwe, Mwamnyeto, Kakolanya na George mpole na wengineo weng,wote hao ni wanyaki, Kabila la akina ngosha bado lipo nyuma Sana Kisoka.
Kwa hiyo wewe kumbe unazuga kuwasifia wanyaki kumbe nia yako hasa ni kuwaponda akina ngosha! Nimekushtukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…