Hongereni watanzania kwa kuikataa hii report ya feki ya tume ya Samia

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Nawapongeza watanzania kwa kuikataa report feki ya tume ya Samuya.Nimeona mapokeo katika mitandao mbalimbali,ukiacha maraboti wengi wamekataa.

Tumeonesha kwamba taifa haiwezi kuponeshwa kwa uongo.tumekataa Uongo.

Na msijali kwa sababu huwa mshahara wa dhambi ni mauti.
'Mauti ni hatima ya wahuni wote kwa sababu wamekataa kutubu'
 
Sio kwenye mitandao tu, kwenye vituo vya redio hadi kwenye vituo vya luninga waliopiga simu 90% hawakubaliani na huo uongo. Niliposikia hadi huko vijijini watu wanapigq simu kutokukubaliana na huo uzandiki, nimejua sasa watanzania wameamka ni suala la muda tu.
 
Watanzania wepi? Labda wavuta bangi na wahuni wa CHADEMA sisi watanzania tumeikubali ukizingatia Jaji Chande ana unquestionable law background
 
Wewe Puuzi la kutupwa.Mtanazia aliyekataa ni yule aliyeipinga tume toka inaundwa na ni wewe na wajinga wenzio.Hebu jitokezeni tena barabrani mrudie ushenzi mliofanya tarehe 29/10 mkidai mnapinga ripoti .Hapo ndipo tutawaambia askari wetu wakae pembeni wafanye mambo mengine , sisi watanzania unaodai tunaikataa ripoti utaona tutakavyoanza na nyinyi .Tumesema uharibifu mlioufanya na hasara mlioitengeneza hatuikubali tena,na tunasema tena NEVER and NEVER again !
 
Watanzania wepi? Labda wavuta bangi na wahuni wa CHADEMA sisi watanzania tumeikubali ukizingatia Jaji Chande ana unquestionable law background
Fuatilia vizuri watanzania wengi wamekataa hiyo report fake isipokuwa nyie wachache mnaofaidika kwa huo uongo kwa sababu wamekata uongo.mwisho wa siku mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Watanzania wengi wamekata isipokuwa nyie manyumbu wa mama wachache.kama hamtaacha uhuni na maovu wakati mwingine wa maandamano wananchi watawapindua na kuwafukuza kama nchi nyingine.silaha hazijawahi kuzuia haki.
 
 
Fuatilia vizuri watanzania wengi wamekataa hiyo report fake isipokuwa nyie wachache mnaofaidika kwa huo uongo kwa sababu wamekata uongo.mwisho wa siku mshahara wa dhambi ni mauti.
Umetumia methodology gani au humu Jamii Forums ndo unafikiri watanzania wote wapo humu?
 
Mngekuwa na nguvu hiyo Samia asingetangazwa kwa kura 31m za uongo, na kuishia kufanya mauaji ya halaiki. Zama za ccm zimepita. Kama huamini waambeni vyombo vya dola vikae pembeni mfanye siasa bila mbeleko, kisha mlete mrejesho.
 
Ww na samuya wote wapuuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…