jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Amani ni tunu ya Taifa.
Amani ilindwe kwa gharama yoyote kwani gharama ya kutokuwepo amani ni kubwa sana.
Taifa changa la Tanzania likiwa kwenye mwendo bora wa kuinuka kimaendeleo limeanza kuonewa wivu na husda.
Tuitunze amani yetu ...Tulikuwa huru bila kumwaga damu na tutapata maendeleo bila kumwaga damu.
Hongereni watanzania wapenda amani
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!