Hongereni Watanzania kwa kuitunza amani

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Amani ni tunu ya Taifa.

Amani ilindwe kwa gharama yoyote kwani gharama ya kutokuwepo amani ni kubwa sana.

Taifa changa la Tanzania likiwa kwenye mwendo bora wa kuinuka kimaendeleo limeanza kuonewa wivu na husda.

Tuitunze amani yetu ...Tulikuwa huru bila kumwaga damu na tutapata maendeleo bila kumwaga damu.

Hongereni watanzania wapenda amani

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
kama jina lako we ni jinga. Jiulize mbona maandamano ya nyuma yalikuwa na watu wengi kupindukia?
Jibu hili hapa la leo:
UOGA WA KUFA.
au kama alivyosema Kenyatta

Your browser is not able to display this video.
 
Fools multiply when wise men remain silents on the issues that matters a lot
 
UMESAHAU KUWEKA NAMBA YAKO YA SIMU ILI WAKUPE POSHO FALA WEWE
Posho mlizotarajia kupewa ili muandamane zimeliwa na viongozi wenu....nendeni mkahoji
 
Dikteta wa kike.
Mwanzo alificha tabia zake.kumbe ndo wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…