Napenda hela
Member
- Feb 8, 2025
- 32
- 51
In fact,Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo sawa?
Kweli kabxa WATUMISHI wengine hasa manabii wapo kimya wanasubir wawaibie waumini Hela Kwa kuwaongepea,mara maji,mara mafuta,In fact,
Pasaka hii pia imesaidia pakubwa kuwajua wanafiki, wavurugaji ndoa na familia za waamini wao, na kisha kukimbilia kujificha madhabahuni na kuhubiri haki na amani kwa taifa wakati wametoka vizia na kupora haki za ndoa za waamini wao nyuma ya pazia.
Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise π
Yap ni jina la ukooUnaitwa Napenda hela mh?
haha, sawa nasubiri tamko la Mwamposa naona yupo kimyaYap ni jina la ukoo
Nami Mtume na Nabii mtarajiwa nasema hivi:Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo sawa?
Tuhuma nzito sana hiziIn fact,
Pasaka hii pia imesaidia pakubwa kuwajua wanafiki, wavurugaji ndoa na familia za waamini wao, na kisha kukimbilia kujificha madhabahuni na kuhubiri haki na amani kwa taifa wakati wametoka vizia na kupora haki za ndoa za waamini wao nyuma ya pazia.
Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise π
ni ukweli ulio wazi zaidi gentleman πTuhuma nzito sana hizi
Nimefarijika sana na ushauri wenu kwa wenye Mamlaka kuhususiana na Reforms mbalimbali juu ya uchanguzi,Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo sawa?
Manabii wengi wamehongwa hela hawana ujasiri wa kukemea, kuonya watawala zaidi wamebaki kujipendekeza tu.Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo sawa?
In fact,
Pasaka hii pia imesaidia pakubwa kuwajua wanafiki, wavurugaji ndoa na familia za waamini wao, na kisha kukimbilia kujificha madhabahuni na kuhubiri haki na amani kwa taifa wakati wametoka vizia na kupora haki za ndoa za waamini wao nyuma ya pazia.
Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise π
relax na mawazo yako ya kingono tu gentleman πWatu wanaongelea maswala makubwa ya kitaifa wewe unafikiria uchi tu uvccm, ndo akili yako ilipoishia?
Mie au wewe? Watu wanaongelea haki unaleta micro thinking, eti ndoa, maaskofu na viongozi wa dini wafungishe wao then wakisema haki mnaspin eti wazivunje, akili ya ngono tu uvccm, zamu hii mtakubali tu kila kete ya kichawa inaliwa juu kwa juu!relax na mawazo yako ya kingono tu gentleman π
calm down na uepuke kuropoka,Mie au wewe? Watu wanaongelea haki unaleta micro thinking, eti ndoa, maaskofu na viongozi wa dini wafungishe wao then wakisema haki mnaspin eti wazivunje, akili ya ngono tu uvccm, zamu hii mtakubali tu kila kete ya kichawa inaliwa juu kwa juu!