Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Namna nchi inavyojibrand kwenye masuala ya Kimataifa ni jambo la muhimu sana. Sio tu inatengeneza picha nzuri juu ya hiyo nchi kwa wageni ila inawafanya wageni waamini kuwa wanajihusisha na mtu / nchi makini sana
Hivi karibuni nimetokea kuvutiwa sana na namna Wizara ya Mambo ya Nje wamekuwa wakiratibu matukio ya Kimataifa yanayofanyika nchini. Kweli wanaratibu vizuri. Kuanzia mpangilio wa maeneo ya mikutano hadi kiitifaki.
Hongera kweli. This is how Tanzania should be branded siku zote
Kuna muda fulani hapo nyuma kusema kweli mpangilio na itifaki katika haya mambo zilikuwa zinafanywa kishamba sana. Hata picha hazikuwa zinapendeza