Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Yuko vizuri kwa kweli.Waziri wa mambo ya nje yupo vizuri sn
Simfahamu vizuri lakini naona kama hana mbwembwe wala camera yeye ni vitendo hata hafahamikiYuko vizuri kwa kweli.
Kwa hiyo kila kitu kinachofanyika nchini lazima kimnufaishe mkulima wa Tandahimba?Mkulima wa tandahiba anafaidika na nini?
Anafaidika kodi zinazolipwa wanapokuja wageni kama hivi, pia yeye atauza mazao watakula wageni na nchi inapata fedha za kigeni, siyo kila jambo ni mbayaMkulima wa tandahiba anafaidika na nini?
Hata usingemjibu. Akili za kimaskini zinawazaga ujinga tuAnafaidika kodi zinazolipwa wanapokuja wageni kama hivi, pia yeye atauza mazao watakula wageni na nchi inapata fedha za kigeni, siyo kila jambo ni mbaya
Aletee wageni maparachichi waleMkulima wa tandahiba anafaidika na nini?
Kwani Bandari ameuziwa nani na shilingi ngapi?Wamesaaidia nn kwenye bandari yetu ili isiuzwe
Hata usingemjibu. Akili za kimaskini zinawazaga ujinga tu
Hapana mwenyewe sikubaliani na serikali hii mambo mengi lakini wakifanya jambo jema lazima nitoe pongezi pia kumwelimisha mtu siyo vibaya sababu Dar hakuna mashamba hivyo mkulima ataleta mazao yake yatapata soko zuri .Hata usingemjibu. Akili za kimaskini zinawazaga ujinga tu
Hela zinakuja kama matokeo ya muda mrefuKama italeta mahela kdg wala hatuna neno, ila km ni urembo tu ni sawa pia, hatuna la kufanya.