[emoji3]Like you.
Empty vessel
Wee ni kukaza tu hahaha[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] nguo hazibani tena.
Watu wanajua kukomaa. Alikuwepo BWM akafanya yake na kuondoka watu wapo tu, akaja Jk na mambo yake kisha akawaacha wapo, huyu JPM naye ataondoka watu wapo tu...Leo ni tarehe 01/07/2017 nawakumbusha ile kauli "atakaefika tarehe 01/07/2017 Dar, yeye ni mwanaume"
Hongereni wote ni wanaume sasa.
Vile viofa vyenu vimepungua siku hizi. Mjini pazito, kwa wasiokuwa na kazi za kuaminika. Kwa waliotegemea "grant" kutoka kwa wanene, sasa hivi jasho linawatoka.Atoki mtu tutabanana hapahapa
Yeye ndio ametukuta sisi hapa Mzizima city. Alipokuja kutoka bara chapa ng'ombe sisi tulishajikita na dili zetu day to day. Mwambieni hatuhami. Ila yeye ndio atang'oka apende asipendeAtoki mtu tutabanana hapahapa
Ha ha haMimi sikugawa suruali zangu ingawa zinapwaya nimefunga pini kwa nyuma lakini sitoki hapa
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Na Mimi sasa hivi tiyari nshakua na uhakika na jinsia yangu ya kiume
[emoji15] [emoji15]Yeye ndio ametukuta sisi hapa Mzizima city. Alipokuja kutoka bara chapa ng'ombe sisi tulishajikita na dili zetu day to day. Mwambieni hatuhami. Ila yeye ndio atang'oka apende asipende