Hongereni wote mliobaki Dar es Salaam hadi tarehe 01/07/2017.

Hongereni wote mliobaki Dar es Salaam hadi tarehe 01/07/2017.

Yeye ndio ametukuta sisi hapa Mzizima city. Alipokuja kutoka bara chapa ng'ombe sisi tulishajikita na dili zetu day to day. Mwambieni hatuhami. Ila yeye ndio atang'oka apende asipende
Nashangaaa watu tumezaliwa mwananyara tunaanzaje kuhama hahaa
 
Kijijini maisha mepesi lakini watu wanachoka haraka kama magari yanayopita kwenye Barabara ya Vumbi daily
 
Hadi jamaa amalize mihula yake yote jiji la dar litabaki tupu, au walala nje wataongezeka sana
 
Maisha ya DSM ni rahisi kuliko mkoani,DSM ukiokota machupa unakula,DSM ukifunga majivu kwenye nylon za vipakti ukauza kama dawa ya mchwa na wadudu watambaao utapiga hela.
 
Leo ni tarehe 01/07/2017 nawakumbusha ile kauli "atakaefika tarehe 01/07/2017 Dar, yeye ni mwanaume"
Hongereni wote ni wanaume sasa.
Unajua nyie wanaume wa Daslam mna maneno ya shombo kamaji yalooshewa sangara.....[emoji34] [emoji34]
Hivi........
Mnajivunia nini hilo jiji lenye msongamano na mijoto ilio vuka kiwango cha mwendo wa dunia....[emoji45] [emoji45]
Jiji lenyewe mmekalia kunyanyasana na majungu kila kukicha.... [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ebu ngoja nijitulizane tu hapa makuti bar kwa IGP ushirombo.......
 
Ndio siku niliyohamia kilingeni msata rasmi
IMG_1989.JPG

mkuu hivi kitu bado ujenzi unaendelea
 
Back
Top Bottom